Msamaha wa Spika Ndugai kwa Rais Samia ni kifo cha mende kwa lile kundi

Msamaha wa Spika Ndugai kwa Rais Samia ni kifo cha mende kwa lile kundi

Walidhani wanaweza kutumia wingi wao kila idara na bungeni kutingisha gogo. Lkn wamekumbana na kisiki cha Zanzibar kikiwa kinalindwa na katiba ya nchi na chama. Wanaanzia wapi kuukata mpingo?

Aliyepewa jukumu la kukitikisa kisiki kapima kina cha maji halafu mwenyewe kaona isiwe taabu. Kwani kuomba msamaha shiling ngapi bwana??! Kajitokeza mwenyewe kuomba poo!

Huu wala siyo uchochezi. Lilikuwa battle la kweli kweli. Si mlimsikia yule mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali akiliongelea? Ilikuwa siyo mchezo.

Sasa mipango, ndoto na matumaini ya lile kundi kuirudia neema na kutamba kama mwanzo ndiyo yamekufa kabisa. Hakuna tena pa kuanzia.

Poleni sana wazee wa legacy.
Huijui siasa wewe hao ccm ni magwiji wa siasa duniani
 
CCM ni watu wanaounganishwa na chama chenye uzoefu mkubwa sana wa siasa. Wanajua namna ya kukaa pamoja baada ya kuwa na mpasuko.

Ni sawa na akili za fisi kutegemea siku moja utokee mpasuko mkubwa ndani ya chama. Sio kama TLP au NCCR, kile ni chama chenye misingi imara sana.

Kwa asiyejua lolote anaweza kuamini hii nadharia yako. Umoja wa CCM upo kwenye madaraka tu, siku CCM inatoka madarakani haitachukua hata mwezi itapotea for good kwenye siasa. CCM tunaijua ndani nje, hawa wanaoomba msamaha sasa ni kwakuwa wanaogopa maisha ya nje ya madaraka, au ulinzi wa wizi wao nje ya CCM. Nje ya madaraka CCM ni bora hata ya TLP.
 
Watanyooka tuu nliwaambia mapema hawakunisikia
Sasa washasalimu amri Kama nivita wamenyoosha mikono juu

Lazima ufanye kile tutakachokuambia kwisha habari yenu
Mmetepeta mapema sasa tuone mtu ananyoosha mdomo wake tunaufekelea mbali
Wahuni nyie

Nimewahi kufanya hivi vitani [emoji24][emoji24][emoji378]usiwashangae sana
IMG_3801.jpg
 
CCM ni watu wanaounganishwa na chama chenye uzoefu mkubwa sana wa siasa. Wanajua namna ya kukaa pamoja baada ya kuwa na mpasuko.

Ni sawa na akili za fisi kutegemea siku moja utokee mpasuko mkubwa ndani ya chama. Sio kama TLP au NCCR, kile ni chama chenye misingi imara sana.
Ni muhimu kukumbuka kueleza pia kuwa huo uzoefu mkubwa wa CCM unahusisha mbinu za kukamata nyenzo zote za dola. Wote wanajua ndipo nguvu ya chama ilipo. Mamlaka kamili (absolute power) ya Rais na mwenyekiti wa chama juu ya vyombo na taasisi zote za dola ndio “msingi imara sana” wa chama.

Ni mwanachama mjinga au aliyechoka sana na status quo, ndiye atakayejaribu kuasi nguvu hiyo. Lakini wote huko ni watu wa maslahi binafsi. Hivyo hata wakipishana namna gani, wanajua wakati na namna ya kurejea kwenye mstari.

Siku huo mpasuko ukiingia kisawasawa kwenye vyombo vya dola vyenyewe kutakuwa na mtafutano mkubwa sana. Hata tusiopenda utawala muflis wa CCM, hatuombei hilo litokee. Utakuwa ni msiba mkubwa sana wa taifa hili. Hivyo, tunaombea viongozi wa CCM wasijisahau sana; wajitahidi kujishusha iwezekanavyo na kuwatumikia Watanzania badala ya ego zao. Wasijidanganye kuwa status quo ni guaranteed milele. Jeuri ina mwisho wake. Vizazi vinabadilika.
 
mkuu umewaza kitoto sana, wale ni watu wazima wameamua kucheza mind game kuwapoteza watu ili waendelee kusuka mipango yao kimya kimya, kwa sasa ccm haitakiwi kuwaamini hawa watu maana wana ajenda zao.
Ajenda ni kuwa madarakani. Hakuna cha mind game wala mipango ya kimya kimya. Nani wa kumuogopa? Mbele ya Rais wa JMT hakuna raia wala kiongozi wa kufanya fyoko wala kuleta vichokochoko.

Ndugai alijisahau akafanya ujinga akastuka au kastuliwa na kurejea mbio kwenye mstari kabla hajatupwa nje kwenye “kilio na kusaga meno”.
 
Chama dola kimeshika hatamu
 
Yawezekana Dhaifu kaomba radhi baada ya kuona matelefoni kamruka na kuanza kumtaja Mungu?
Matelefone muongo alie KUBUHU, anaweza pia kuwa ni geresha ya kumtapeli Samia. Ili aendelee kumuamini.
 
Mawaidha ya huu ujumbe ni hivi...
Lile kundi la washamba waliovamia CCM...Sukuma Gang
Sasa ni kwisha habari yake...
Kinyonga ameminywa makende TCRA kwa kukutwa na ky jelly...
Mgogo kachutama choo cha kuchuchumaa...
7ya ananyea debe....
Bashite amepewa nafasi akajitambua jinsia yake....
 
Afutwe uspika wataufyata kabisa,sio sawa kudanganya na kupinga vitu genuine.

Akina Ndugayi Hawa ndio wanamchafua mama kwa kusema anapendelea Zanzibar mara waseme kachukua ndege na uzushi mwingi wa hivyo.

Na kama unavyojua wataz ,huwa wanaamini uzushi na umbea kuliko mambo ya msingi.
 
Kumbe mzanzibar si mtz?!!!...
Utafikiri hao Wazanzibar ndio wanataka huo Muungano,wanao lazima ni sisi watanganyika..

By the way sioni faida ya kuvunja,kwa mfano kwenye utalii 60% ya watalii huja Tzn kwa ajili ya Zanzibar na tunafaidika kwa pesa za kigeni.
 
Walidhani wanaweza kutumia wingi wao kila idara na bungeni kutingisha gogo. Lkn wamekumbana na kisiki cha Zanzibar kikiwa kinalindwa na katiba ya nchi na chama. Wanaanzia wapi kuukata mpingo?

Aliyepewa jukumu la kukitikisa kisiki kapima kina cha maji halafu mwenyewe kaona isiwe taabu. Kwani kuomba msamaha shiling ngapi bwana??! Kajitokeza mwenyewe kuomba poo!

Huu wala siyo uchochezi. Lilikuwa battle la kweli kweli. Si mlimsikia yule mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali akiliongelea? Ilikuwa siyo mchezo.

Sasa mipango, ndoto na matumaini ya lile kundi kuirudia neema na kutamba kama mwanzo ndiyo yamekufa kabisa. Hakuna tena pa kuanzia.

Poleni sana wazee wa legacy.

Nyanengh'we!!
Ila Jobo hakumuomba msamaha mama
 
Viongozi hovyo namna hizi wanatakiwa wajiuzulu nyadhifa zao na ndio demokrasia inakua.

Njaa mbaya sana , akijuzuru atakula wap? Kama kujiuzuru angejiuzuru yule waziri wa kilimo aliyeambiwa NONSENSE mbele ya kadamnasi, na akaufyata na uprofessor wake!!!
 
Timu viroboto naona wamepigwa 3-0 mpaka sasa hivi... dakika ni ya 18. Ndo kwanza game imeanza
 
Back
Top Bottom