chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
mleta mada ,inaonekana ni mzanzbar,na Kama ni mtz basi bado ni mchanga Sana kwenye siasa za hapa Tanzania,unaijua vizuri ccm!!?,muulize lowasa,sumaye ,dr.slaa,au waulize bavicha lowasa aliwafanya nn!!... Wajuvi wa Mambo wanajua nn kinaendelea na misheni ikoje ndani ya ccm. Huwa nawaambia siasa za ccm ,hata bavicha hawazijui ,pamoja na ufundi wao wa kupiga maneno!!