Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

Nifah alitudanganya ni Kings Fm, kiherehere cha kupost haraka haraka ili aonekane ni mbea mkubwa, haha
 
Kuwepo kwa mitandao kumewapunguzia sana kule kutegemewa sana na jamii....wakati mi nakua kitakachosemwa radioni ni kwel na hamna wa kujadili, ili saa yako ionekane ipo sahihi lazima iendane na muda utakaotajwa redioni
Sahihi. Saiv hata kinachopostiwa mtandaoni na radio page hatukiamini
 
Kwamba wasanii now wameishiwa mawazo.
 
Angeita Kings Fm ingesound sama na moja kwa moja ingeibeba Kings Music.
Labda sababu Kings FM ipo Iringa. Ila ingekuwa ni mimi Kiba na jambo langu (achana na la Kusaga) ningeongea na hiyo mmiliki wa hiyo redio ya Iringa abadili jina.

Kings FM ingembeba sana Kiba. Hiyo Crown FM haikaikai sana kimatamshi, labda vile sijaizoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…