Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

Sasa comment Yako ya jamaa wa coco beach ilikuwa Ina maana Gani?
 
Angeiita KINGS FM Ingekaa kiushindani zaidi na WASAFI FM. Lakumi Crown FM ni jina geni masikioni. Atakua na KAZI kubwa ya kuipush kuliko angetembea na upepo wa Kings. Kumbuka Kiba Hana content nyingi. So anakazi kubwa ya kufanya. Kiba Hana historia ya kukuza kitu au kupusha jambo na kufika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…