Umenena vema mkuu.Ni vyema watu wenye utamaduni mmoja waoane. Kuoa sii kupenda rangi maumbile, na anavyoongea tuu lakini kumbuka unabeba na kuunganisha ndugu na tamaduni mbili. Kama unampenda mwanamke anayeonekana ni mzuri kwa sura na tabia lakini ndugu zake wanavitabia vya asili, kama ulevi, bangi, umalaya, uchawi ukadhani kwa kuwa huyo uliyempeda yuko tofauti umejidanganya>>> ndugu ni ndugu tuu kuna siku hayo matabia usiyoyapenda yataingilia mahusiano yenu
Ngoja Honey Moon iishe kwanza ntarudi tu! Nimekuja hapa kumshangaa huyu bwana mdogo, wenzake tunavuta mizigo mipya yeye anatoa talaka.Sijambo Malcom,tangia uoe mke wa pili huonekani siku hizi humu..😀😉
Anasema ilibidi chumbani kwake kuwe makazi ya kudumu. Mama mkwe anasubiri ukianza kudeki na yeye anapita.Kilichojiri baadaye tafadhali Dokta
Upumbafu upi?Acha upum.bavu.
Mbona kuna familia huwa wanaishi pamoja na kuelewana tu?!
Choyo au kitu gani?
Hahahahahhaha, acha tu dadaHahahaha mdogo wangu umekuwa mtundu sana
Iwe kweli au fake hii kitu, but imebeba uhalisia wa wanawake walivyo!
Wanawake wengi ni chanzo cha migogoro katika familia, wanaweza kuzisambaratisha na kugombanisha vibaya sana!
...aliyesema tuishi na wanawake kwa akili aliona mbali sana!
Na abdukiba naye mkewe kakimbia. Shida itakua hiyo familia tu.
Anasema ilibidi chumbani kwake kuwe makazi ya kudumu. Mama mkwe anasubiri ukianza kudeki na yeye anapita.
Aliufunga mdomo mpaka mume alipomnunulia Mama yake nyumba Dar.
Shemela kwemakuna ukweli kwenye hili japo lipo kimzaha. ndoa ndugu kibao watu mnashindwa hata kujiachia bana.