Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Hapo vyanzo viwili
1. Uchoyo
2. Mzazi kuingilia
Hasa Cha pili
 
Kama ni kweli pole yake Amina, hata hivyo mie nilimuona ana moyo sana. Mwanaume ana watoo watatu na kila mtoto na mama yake bado ukatumbulie humo[emoji134][emoji134][emoji134]
Kama haitoshi familia nzima inaishi under the same roof yaani hapo maana ya ndoa hakuna.
IMG_20190915_220613.jpg
 
Kuna shost ile tumemaliza form four tu alimpata kaka mmoja yuko serious kwa ndoa. Kaka alishajenga ghorofa, harusi kubwa na mama mkwe alikuja kutoka Malampanda.

Baada ya harusi mama mkwe aligoma kurudi kwake. Maisha ndipo yaliponona hapo.
 
Ninyi Wanawake si ndiyo mnasemaga kuwa hakuna mapenzi bila pesa?[emoji4]
Wanaume huzani akiwa na pesa ndiyo kila kitu kama umeamua kuwa na mwenza kwanini akae na familia hapo, watu wenyewe mambo ya kiswahili kibao acha akapumzike, anazidi kuongeza watoto nyumbani bila mama zao, Baba mmoja mama zao 30
 
This is sad,pole Amina..uwe haupendani na ndugu za mumeo na mumeo anawa support ndugu zake..hio atmosphere ni ngumu...bora ukapumue mwaya!!
Ila mimi hata mama yangu awe ana makosa siwezi kuwa upande wa mwanamke
Lakini pia kama ally Alioa na kubaki nyumba moja na mawifi na wakwe alikosea sana mawifi na wakwe wa kiafrika ni shida
 
Mungu alinena "ishi na mwanamke kwa akili"

Alimaanisha kama huna akili usioe!

So ukiona umeoa then ukashindwa kuishi na mkeo, maana yake huna akili

Hii ina maana huyu ndugu yetu Ally K hana akili hata kidogo

Hivyo basi tusishangae hata kwenye muziki kuzidiwa na Mond, sababu ni kwamba ndugu yetu hana akili.
 
Ndiyo Maisha
Ukisema Cha Nini, Wenzako Wanasema Watakipata Lini
 
Kuna shost ile tumemaliza form four tu alimpata kaka mmoja yuko serious kwa ndoa. Kaka alishajenga ghorofa, harusi kubwa na mama mkwe alikuja kutoka Malampanda.

Baada ya harusi mama mkwe aligoma kurudi kwake. Maisha ndipo yaliponona hapo.
Kilichojiri baadaye tafadhali Dokta
 
Back
Top Bottom