Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Haya mambo wakati mwingine hayanaga kanuni ya aina moja, kwa hiyo usikariri!

Kuna familia zimekuwa zikiishi hivyo bila matatizo yoyote, kama kupishana kunakuwa kwa mambo madogo madogo yasiyopelekea kuachana!
Sijui huko kwenye dini zenu, kwa imani yangu mimi, msingi wa ndoa ni mimi kuachana na ndugu na wazazi wangu na kuambatana na mke wange, tangu hapo sisi ni familia. Haimaanishi kuwa hatutatembeleana, lkn suala la kukaa pamoja ni kumkosesha mmoja wenu uhuru.

Hizo unazozitolea mfano hapa sio kwamba zina amani, ila zina uvumilivu. Labda tu nikuulize, kuna sababu gani ya wewe usiishi kwako na mwenza wako uende ukaishi alikoolewa dadaako?
 
"Mwanamke ni kiumbe pekee kisichojua kinataka nini"

Karibuni sana kwa utetezi Wazee wa "tafuta sana pesa ili ukiwa nazo uheshimike/usigongewe katika ndoa"
Aligongewa Mzee Machache na hela zote, kagongewa mke wa kwanza had wakaaachana, kagongewa huyu mdogo, had kanogewa katengenza figisu la kumuwahisha mzee.

Hayana formular. Ishi nao kwa akili
 
nimeshasema Mke wangu nitafunga nae ndoa ya kimya kimya..Nikimaliza mahari tu Aje nyumbani...mambo ya harusi kukusanya watu HAPANA staki..kesho na kesho kutwa nitembee nimepandisha viooo hata watu wasinione kisaaibu ya ndoa yetu kuvunjika kabla hata ya mwaka. NOP
 
Aligongewa Mzee Machache na hela zote, kagongewa mke wa kwanza had wakaaachana, kagongewa huyu mdogo, had kanogewa katengenza figisu la kumuwahisha mzee.

Hayana formular. Ishi nao kwa akili
😳 😳 😳
 
Back
Top Bottom