Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Wakikwambia uoe Somalia utakataa ???
Kwa kweli mi bado sijawai kubabaika na race tofauti na ya Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mi huwaga hata hao wakina Kim Kardash siwaoni uzuri wao kabisa!!!! Napenda wanawake w Tanzania yaani wamachangamka hata kama ni maskini tofauti na wengine ....kama dsm hapa wanawake wajanja mpaka mzuka
 
Ni vizuri kuoa mtu ambaye unavutiwa naye......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…