Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Hawa wamatumbi wenzetu wa hapa bongo hawajiuzi?
 

Muda mwingine wanaume tunalaumiwa bure tu wanawake kama hawa kweli unaweza kuacha kuoa akikubali? Mambo ya kuachana ni matokeo hata wabaongo kwa wabongo wanaachana tu sema kasumba yetu watanzania tunafurahishwa na matatizo ya watu wengine hasa tunaowafahamu kuanzia familia hadi jamii, mtanzania anachukua muda mrefu sana kukupa pole lakini kama ni jambo la kukupa hongera atachukua muda mfupi mno kwa roho yake mbaya ya kichawi.
 
Brother, ndoa zinavunjika kila mahala duniani. Watu wanaachana iwe Tanzania, au Somalia. It rains everywhere!

Hoja yetu sisi, ni kwamba mtu aoe mwanamke anaempenda. Awe mnyarwanda, awe mmatumbi au mzanaki. Kula kitu roho inapenda!
Sikupinga ila Kuna mitigation factors angalau ifike miaka mingi...huyo mwanamke na yule ya Ali kiba wote ni wajuaji na wazee wa kuruka viwanja
 
Brother, ndoa zinavunjika kila mahala duniani. Watu wanaachana iwe Tanzania, au Somalia. It rains everywhere!

Hoja yetu sisi, ni kwamba mtu aoe mwanamke anaempenda. Awe mnyarwanda, awe mmatumbi au mzanaki. Kula kitu roho inapenda!

Kabisa tusipangiane na watu wanapotosha sana ili ionekane wanawake wa bongo wanadumu kwenye ndoa kumbe sio kweli
 
Kumbee mam ake Ni mtutsi bhna vzr ila wandewa wanasema ameshapokea za uso ila uzuri yule jama hakututambia huku mtandaoni alijikausha ndio maan hat ishu yake haijafahamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…