Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Au overdose ya molly mdau??????Maana mwana alikua anatumia vile vitu.Sababu madogo sauzi umarekani mwingi sana.Taarifa fupi kuhusu maisha ya costa tich. 👉
👉Majina yake halisi ni : Costa tsobanoglou. a.k.a Costa tich.
👉Mahali alipozaliwa ni : nelpsruit, ndani nchi ya afrika kusini.
👉Mwaka wa kuzaliwa ni: 1995- tarehe ya kifo ni siku ya jumapili 12/03/2023.
Rest in peace Costa, there is a heaven for a niggaView attachment 2546884
Uli muuzia??, Au ndo kujifanya una mjua marehemu Sana.Au overdose ya molly mdau??????Maana mwana alikua anatumia vile vitu.
Kuuliza muhimu mdau,maana hata AKA niliuliza ile hit imetokana na kifo cha aliyekua mchumba wake au gang,s war?????Kuuliza muhimu sababu vitu hivi vina julikana kwa wasanii wa bondeni mdau.Uli muuzia??, Au ndo kujifanya una mjua marehemu Sana.
👉Usha ambiwa sababu hazijajulikana, ila umeanza conspiracy zako. Zisizo na kichwa Wala mguu🤔🤔
OK sawaYeah mkuu.....yule ni dogo kwangu
Hata mimi kuna mdau kaniambia heart attack na uzito uliopitiliza.So sadSo sad wanasema ni heart attack jaman jamaa hajaumwa [emoji25][emoji25]
Papa alianguka stejini pia.DuuhAisee Rip,
Kifo kingine kiliuma km hiki ni Papa Wemba.
Ule wimbo anaimba anaanguka wanabeba stage niko hapo pembeni
Umejuaje mkuu95% sumu
28 years!!! ,2pac aliondoka much younger @ 26yearsInauma sana, halafu ukiangalia alikuwa bado mdogo sana.
KabisaDuu mbna wanakufa sana kuna nn huko south????
Anyway kuna mkono wa mtu si bure
26yrs and 28yrs too young to understand the world.28 years!!! ,2pac aliondoka much younger @ 26years
Papaa Wemba alianguka ile kabisa mazima wimbo anaimba upo ntaweka akakata moto jukwaani🥲Papa alianguka stejini pia.Duuh
Duuuh very sad mkuuPapaa Wemba alianguka ile kabisa mazima wimbo anaimba upo ntaweka akakata moto jukwaani🥲
Tupac ni USA, tena yule odds zilikuwa against naye. Ila this is Costa tich.28 years!!! ,2pac aliondoka much younger @ 26years
Possibly inaweza kuwa drug😥😭😭😭😭 27 too young au ni sir God anawakausha stejini sababu hawamuabudu 🤔
Yeah for sure , but 2pac legacy still lives, , sina clue alikuwa ni kijana mwenye upeo wa kiasi gan ila nadhan hakuwa kijana wa kwaida .26yrs and 28yrs too young to understand the world.