Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Na mimi ni mmoja wapo wa hizo kaya? utaratibu gani natakiwa nifanye ili mimi pia niingie.
Lakini kikubwa ni utekelezaji yaani ahadi tu umeshampa promo tayari.
30,000x3x500=45,000,000/= (kadirio la chini). hongera kwake, si haba hata kidogo!Ameahidi kuzilipia Kaya 500 Kodi zao za nyumba kwa miezi mitatu
Sisi wa kanisani utaratibu ipoje.Tutachukua taarifa msikitini za wenye uhitaji.
Sisi wa kanisani utaratibu ipoje.
Mkuu mimi nalipa kodi ya laki 3 na nusu kwa mwezi au nakosa sifa.30,000x3x500=45,000,000/= (kadirio la chini). hongera kwake, si haba hata kidogo!
Hizo kaya ziko mbagala au sinza?Ameahidi kuzilipia Kaya 500 Kodi zao za nyumba kwa miezi mitatu
LAKI TATU?!!!!! hata kama majibu ya uhakika anayo mtoa mada lakini nashauri we usiwepo kabisaaaa!! na nitafurahi ikiwa hivyo!Mkuu mimi nalipa kodi ya laki 3 na nusu kwa mwezi au nakosa sifa.
watu wa fasihi nyie, raha sana!Hizo kaya ziko mbagala au sinza?
TandaleHizo kaya ziko mbagala au sinza?
Mkuu kwanini? wakati na mimi napitia wakati huo huo mgumuLAKI TATU?!!!!! hata kama majibu ya uhakika anayo mtoa mada lakini nashauri we usiwepo kabisaaaa!! na nitafurahi ikiwa hivyo!
Nilitaka akuoeBirdman...... Baba mlezi wa lil Wayne alipost hivi hivi insta juzi........ Naona mzee wa kick naye anakopi na kupesti.........
au huyo sio wewe.
Wewe ulitaka afanyeje? au sababu Birdman kafanya yy asifanye?
Kweli ma taahira wapo wengiDiamond amethubutu na endapo akigombea Urais nitamuunga mkono. Kwa upande wa kukabiliana na Majanga kwangu Mimi Mpaka Sasa Diamond Ni Bora kuliko jamaa na Serikali yake ya MMC
Naelekea kukosa sifa; angesogea adi koma koma hapa kidogo.Tandale
Kwani WEWE umeolewa na mwanaume mwenzio?Nilitaka akuoe
Mkuu mimi nalipa kodi ya laki 3 na nusu kwa mwezi au nakosa sifa.
Huko kodi ziko juu kidogo hazitotimiza vigezo za kuwemo.kwenye ofa hii!Naelekea kukosa sifa; angesogea adi koma koma hapa kidogo.
Diamond amethubutu na endapo akigombea Urais nitamuunga mkono. Kwa upande wa kukabiliana na Majanga kwangu Mimi Mpaka Sasa Diamond Ni Bora kuliko jamaa na Serikali yake ya MMC
inabidi uachwe wakati huu mgumu ukupige ili ushikishwe adabu kwanini hujajenga na uwezo unao!Mkuu kwanini? wakati na mimi napitia wakati huo huo mgumu