Fibanochi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 476
- 1,018
Kodi ya 30k- 50k kwa mwezi, ndy haswa kundi linalopaswa kusaidiwa maana ndy walala hoi haswa, hao ndy hulala chumba kimoja na watoto wao.Huu ninahisi utakuwa msaada mdogo kati ya misaada aliyowahi kutoa ukikokotoa hapo atakaowalipia kod utakuta ni walevyumba vyao vina range 30000 mpaka 50000 kwa mwezi which means kwa mieiz mitatu ni kama lak unusu sa kwa familia 500 itakuwa kama milion 70.
Ninavyojua ashawahi kutoa misaada ya pesa nyiingi zaidi ya hili kipindi kile kwao tandale alipotoa hata pikipiki na mitaji
Sent using Jamii Forums mobile app