Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Nawakumbuka waha Mzee Majuto. Muhidine ngurumo. Bibi kidude. Yusuf chchu sound. Mungu awapumzishe na awasameh madhambi yao walioyatenda hapa duniani.
Wasanie wa kisasa hawakushangamkie kama huna pexa...
 
Hahahaaaa mi sikua teller nilikua customer service desk japo teller lazma atajua salio especially unapotaka kutoa hela
Ndio maana huwa sipendi kwenda kwa ma tellers aisee

Maana huku niliko Kuna mwanangu mmoja nimesomA nae olevel nae Ni teller sitaki hata ajue salio langu huko[emoji1787][emoji1787]

Uzuri Ni akaunti mbili mbili
 
Ilea lafudhi ni changamoto sana asee, ila wakiandika tunagrab kama kiswahili mzeee dahb🀣🀣🀣
 
Miss Tanzania 2020, Rose Manfere hadi siamin kama amekuwa miss. Anasoma na mdogo angu pale Ardhi na ni best friends kinaz na wanakaa room moja basi huwa tunatanianaga kwa voice note whatsapp ila ndo hivo ndio mrembo wa taifa.
Ila honestly sijawahi kutana naye bado.
 
Huyo mwamba nakubali sana flow zake za kimnato kama akina lunya, salmin swagg na con boy
 
Hii shule iko wapi? πŸ€”πŸ€”
 
Nlikutana na Cyril Kamikaze kituo cha polisi Rujewa Mbarali nlipoenda kuchukua loss report. Alikuwa amepeleka malalamiko ya kuzurumiwa tsh 25M na mtu aliekuwa anampa hela amlimie mpunga jamaa akatembea na mavuno. Alikuwa analima kwa simu.
Afu Cyril Kamikaze na Mabeste nashindwaga sana kuwatofautisha πŸ™„πŸ™„
 
One day nilikuwa Vancouver baada ya kualikwa na mtasha mmoja week kadhaa. Katika outings kwenye cafe moja nikamuona Drake ila sikuwa na uhakika ila mwenyeji wangu akaniambia ni yeye basi nikawa starstruck ila nikawa naona aibu ikabidi niombe tu bodyguards wake jamaa nikaongea nae nikamwambia natokea bongo.

Akanisainia kitabu ambacho nilikuwa nimenunua cha Bones to Ashes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…