TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Baraka kweli aisee, soon yule demu atammwaga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah hata mimi nimemshangaa sana nikaona niwe kimya tuuu.

Enzi hizo kariakoo unatembea mikono unaimwaga ila saivi nafasi hamna kwa sababu watu wengi.

Alafu mtu daah anafananisha zamani na sasaivi
ID yako hii ya Safuha umekula ban au.
 
Umemtaja baba tu bt why hujamtaja mama,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi Belle9 huyu jamaa anajua sana sijui anakwama wapi?
 
Kufiwa namama jamani kusikieni tu, mimi nilifiwa namama nikiwa mdogo nilikuwa hata Shule sijaanza, kwawakati ule nilionaa kama vile mchezo wamaigizo yaani nakumbuka kila kitu ila wala sikujali. Nimekuja kujua lile lilikuwa nipengo kubwa sana nilipofika darasa latano aisee baada yahapo niliishi nasononeko mpaka hivi sasa nikijisikia kulia nalia weeee mpaka basiii. Ila namshukuru Mungu nimefikisha umri alioishi mama yangu duniani. rip king zilla namarehemu woteee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…