TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26] Ustar zigo la mwiba.. Kwa sasa kuna wanamziki wana Depression sana Kwa kuwaangalia tu unajua something is wrong na wanafight sana kurudi kwenye game lakini Raia wanakomaa na Kina Alikiba na Diamond[emoji26][emoji26][emoji26] Mtu kama Baraka the prince yani kaisha balaa.. Mavoko nae japo anachechemea..Kina Belle 9.. Q Chilla.. TID...Chid benz yani mpaka huruma.. Ray C nae naona anataka kurudi ila Hiyo nafasi naona kama alishaipoteza na ndio maaan Wasanii wengi madawa ya kulevya na bhangi ndo zinakuwa kimbilio lao.. Ustar kuupoteza na huna kitu sio kitu rahisis kukubali na kuishi nacho kabisaa Mungu awatie Nguvu sana hawa wasanii wetu aisee.. Mziki wa tz tatizo unakulipa ukiwa unahit tu yani Ukipotea kama hukujipanga Hata hela ya Kula unaweza kosaa...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mandinga wala mademu hakuna tena...

Sent using Jamii Forums mobile app
Baraka kweli aisee, soon yule demu atammwaga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah hata mimi nimemshangaa sana nikaona niwe kimya tuuu.

Enzi hizo kariakoo unatembea mikono unaimwaga ila saivi nafasi hamna kwa sababu watu wengi.

Alafu mtu daah anafananisha zamani na sasaivi
ID yako hii ya Safuha umekula ban au.
 
Dah...i can feel u...pole mno aisee nawazaga kufiwa na mzaz jamani naamini nitachizika mazima mm..nina hofu mno hyo mm...navyompenda baba yangu jaman bora nianze mm tu...hakuna msiba mzito na mgumu kama kufiwa na pacha wako pia aisee!unajiona na ww huna thamani kbs.!argh!Pole sana best..rip mom
Umemtaja baba tu bt why hujamtaja mama,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26] Ustar zigo la mwiba.. Kwa sasa kuna wanamziki wana Depression sana Kwa kuwaangalia tu unajua something is wrong na wanafight sana kurudi kwenye game lakini Raia wanakomaa na Kina Alikiba na Diamond[emoji26][emoji26][emoji26] Mtu kama Baraka the prince yani kaisha balaa.. Mavoko nae japo anachechemea..Kina Belle 9.. Q Chilla.. TID...Chid benz yani mpaka huruma.. Ray C nae naona anataka kurudi ila Hiyo nafasi naona kama alishaipoteza na ndio maaan Wasanii wengi madawa ya kulevya na bhangi ndo zinakuwa kimbilio lao.. Ustar kuupoteza na huna kitu sio kitu rahisis kukubali na kuishi nacho kabisaa Mungu awatie Nguvu sana hawa wasanii wetu aisee.. Mziki wa tz tatizo unakulipa ukiwa unahit tu yani Ukipotea kama hukujipanga Hata hela ya Kula unaweza kosaa...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mandinga wala mademu hakuna tena...

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi Belle9 huyu jamaa anajua sana sijui anakwama wapi?
 
Sure mkuu it depends na bond mliyokua nayo mimi mama kafariki almost 2yrs ila mpaka this moments bado siko sawa am sure itachukua muda sana kila kitu kukaa sawa ,it’s hard mzee msiba usikie kwa jirani sio kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufiwa namama jamani kusikieni tu, mimi nilifiwa namama nikiwa mdogo nilikuwa hata Shule sijaanza, kwawakati ule nilionaa kama vile mchezo wamaigizo yaani nakumbuka kila kitu ila wala sikujali. Nimekuja kujua lile lilikuwa nipengo kubwa sana nilipofika darasa latano aisee baada yahapo niliishi nasononeko mpaka hivi sasa nikijisikia kulia nalia weeee mpaka basiii. Ila namshukuru Mungu nimefikisha umri alioishi mama yangu duniani. rip king zilla namarehemu woteee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom