Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Baraka kweli aisee, soon yule demu atammwaga.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26] Ustar zigo la mwiba.. Kwa sasa kuna wanamziki wana Depression sana Kwa kuwaangalia tu unajua something is wrong na wanafight sana kurudi kwenye game lakini Raia wanakomaa na Kina Alikiba na Diamond[emoji26][emoji26][emoji26] Mtu kama Baraka the prince yani kaisha balaa.. Mavoko nae japo anachechemea..Kina Belle 9.. Q Chilla.. TID...Chid benz yani mpaka huruma.. Ray C nae naona anataka kurudi ila Hiyo nafasi naona kama alishaipoteza na ndio maaan Wasanii wengi madawa ya kulevya na bhangi ndo zinakuwa kimbilio lao.. Ustar kuupoteza na huna kitu sio kitu rahisis kukubali na kuishi nacho kabisaa Mungu awatie Nguvu sana hawa wasanii wetu aisee.. Mziki wa tz tatizo unakulipa ukiwa unahit tu yani Ukipotea kama hukujipanga Hata hela ya Kula unaweza kosaa...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mandinga wala mademu hakuna tena...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app