Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mkuu unapoteza nguvu zako bure kumjibu huyo
We ni raia wa nchi ganWho is he?
Duh!
King Zilla.
Anyway, we all doomed to die.
Mimi nilijua kifo kipo baada ya kufiwa na mama yangu late 2018.
Sijawahi kuona maumivu makali namna ile.
Poleni ndugu wa King Zilla.
Ahsante. Asikwambie mtu. Nimekua nikilia kila siku toka mama ameondoka. Nimejitahdi kua mwanaume lakini maumivu yake hayavumiliki.Dah...i can feel u...pole mno aisee nawazaga kufiwa na mzaz jamani naamini nitachizika mazima mm..nina hofu mno hyo mm...navyompenda baba yangu jaman bora nianze mm tu...hakuna msiba mzito na mgumu kama kufiwa na pacha wako pia aisee!unajiona na ww huna thamani kbs.!argh!Pole sana best..rip mom
Una miaka mingapi? Maana mm niko form 6 2011 king zilla alikua anahitOkeee naona ana jina kubwa Ila miziki yake haivumi kivile
Ahsante. Asikwambie mtu. Nimekua nikilia kila siku toka mama ameondoka. Nimejitahdi kua mwanaume lakini maumivu yake hayavumiliki.
Msiba usikie kwa jirani.
Ndio, sina mke wala mtoto.Maskini!dah..huna watoto?eti nakuhurumia maskini..jikaze...kubali hali hyo..ila ni ngumi sana sana aise