nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
pole sanaAhsante. Asikwambie mtu. Nimekua nikilia kila siku toka mama ameondoka. Nimejitahdi kua mwanaume lakini maumivu yake hayavumiliki.
Msiba usikie kwa jirani.
Since amechana na demu wake Zilla alikuwa na depressionWiki iliyopita alikuwa XXL ya Clouds Fm na alivyokuwa anaongea ni kana kwamba alikuwa ana matatizo..Anyway RIP Zilla
United Fan
Jamaa aliküwa na stress sana yaan hata tweets zake uko mtandao wa twitter zinajithihirisha
AmenMaisha ya duniani ni mafupi sana.
Sema binadam tunahadaika na hii dunia kama vile tutaishi milele.
'Hakika kwake tumetoka na kwake tutarejea'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swadaktaa,Ana jina kubwa na Mziki wake mkubwa!
Sio kila Mziki mkubwa ni mkubwa kwa watu wote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, sina mke wala mtoto.
Namkumbuka sana mama.
Wiki iliyopita alikuwa XXL ya Clouds Fm na alivyokuwa anaongea ni kana kwamba alikuwa ana matatizo..Anyway RIP Zilla
United Fan
Baba sio mchezo.Mwenyewe nimeionaIyo avata, baby sio mchezo!!! Rest in peace jemedar king of free style Zilla mwenye hiphop yake.
Okeee naona ana jina kubwa Ila miziki yake haivumi kivile
Una miaka mingapi? Maana mm niko form 6 2011 king zilla alikua anahit
Sent using Jamii Forums mobile app