Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Binafsi nimekaa na hawa wasanii, na kuna kazi nimewahi kufanya na baadhi yao.

Usiamini kila unachosikia kwa msanii. Wanapishana kidogo sana na wanasiasa.
True mkuu..Hata Diamond nina amini ana hela ila anavyoongea na kujiweka watu lazima waongeze figure zao wenyewe, kumbe wapi..
 
Acha kabisa kama maua sama alinunua gari ya millioni 80 kwanyimbo moja tu iokote sasa tunashangaa nn hizi millioni 500?
Check huyo jamaa anaejiita Wodemaya anazurula Africa nzima kwa pesa za YouTube na bado kamnunulia mama yake gari. Na hivyo ni alivyoamua kuweka wazi mwenyewe.

Na hana mamilioni ya views kwenye video zake !!

1.
1584224534784.png

2. Chanel yake hii hapa:

Sasa kati ya Chanel ya Harmonize na huyu ni ipi Chanel yenye nguvu ?
 
Kila video 1 ya Harmonize YouTube inamuingizia Mil 166 Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Video 3 za Harmonize ni Mapato ya mechi ya Simba vs Yanga wanayoingiza pale Taifa kumbe mshikaji ni Bilionea.
Mkuu whatever sidhani kama tunabishana hapa.

Maana tunajaribu kuelimishana lakini kumbe mwenzangu unatafuta league mazee !!!

Maana hapa tuna guess tu hatuna exact figures
 
Kila video 1 ya Harmonize YouTube inamuingizia Mil 166 Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Video 3 za Harmonize ni Mapato ya mechi ya Simba vs Yanga wanayoingiza pale Taifa kumbe mshikaji ni Bilionea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana dah.
 
True mkuu..Hata Diamond nina amini ana hela ila anavyoongea na kujiweka watu lazima waongeze figure zao wenyewe, kumbe wapi..

Branding bro, ni lazima uoneshe kwamba huna njaa ili promoter anapokuita kwenye promotion uwe na bargaining advantage.

Wanazitumia pia wanasheria, dressing nice, driving nice car, using top brands za simu, laptops, nk.

Hii inakupa sana advantage.
 
Branding bro, ni lazima uoneshe kwamba huna njaa ili promoter anapokuita kwenye promotion uwe na bargaining advantage.

Wanazitumia pia wanasheria, dressing nice, driving nice car, using top brands za simu nk.

Hii inakupa sana advantage.
Hiyo paragraph yako ya pili nimeikubali.
💯💯

Unyonge mbaya ukiwa mnyonge sana wanakuchukulia poa.
 
hiyo 25m ni per month au

sasa hata media haina revenue ya kulipa hii kodi kweli??
Alafu watu mm huwa nawashangaa sana wanajua media ni ya domo wakati kitu ambacho sio kweli domo anahisa chache kwajili ya jina tu.
 
Back
Top Bottom