Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Kwani diva kamuuliza nn leo hapo muda uliopita?Harmonize mwenyewe ni mtu mmoja mpenda sifa mzuri sana kama angekuwa amemaliza deni kama unavyosema wewe angekuwa ameshaongea kitambo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani diva kamuuliza nn leo hapo muda uliopita?Harmonize mwenyewe ni mtu mmoja mpenda sifa mzuri sana kama angekuwa amemaliza deni kama unavyosema wewe angekuwa ameshaongea kitambo sana.
Take time, learn businessIngekuwa pesa inapatikana kirahisi kihivo diamond asingekimbia pango la kodi la wasafi media HQ ambalo ni million 25 tu na kwenda hifadhiwa jengo jingine la hisani
Acha kabisa kama maua sama alinunua gari ya millioni 80 kwanyimbo moja tu iokote sasa tunashangaa nn hizi millioni 500?
so hawapo kwenye jengo lao pale mbezi??Ingekuwa pesa inapatikana kirahisi kihivo diamond asingekimbia pango la kodi la wasafi media HQ ambalo ni million 25 tu kwa mwaka na kwenda hifadhiwa jengo jingine la hisani
True mkuu..Hata Diamond nina amini ana hela ila anavyoongea na kujiweka watu lazima waongeze figure zao wenyewe, kumbe wapi..Binafsi nimekaa na hawa wasanii, na kuna kazi nimewahi kufanya na baadhi yao.
Usiamini kila unachosikia kwa msanii. Wanapishana kidogo sana na wanasiasa.
Wamehamia jengo la Joseph kusaga lilikuwa la choice FM.so hawapo kwenye jengo lao pale mbezi??
Kila video 1 ya Harmonize YouTube inamuingizia Mil 166 Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Video 3 za Harmonize ni Mapato ya mechi ya Simba vs Yanga wanayoingiza pale Taifa kumbe mshikaji ni Bilionea.Hizo 500M anazipata kwa video TATU tu YOUTUBE.
Ahaaa stani alijitoa ufahamu kumshika jk ghafla watu wa usalama waka mbadilikiaNaona wazee wamesahau agizo la mhe. Kuhusu kusalimiana.....
[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Check huyo jamaa anaejiita Wodemaya anazurula Africa nzima kwa pesa za YouTube na bado kamnunulia mama yake gari. Na hivyo ni alivyoamua kuweka wazi mwenyewe.Acha kabisa kama maua sama alinunua gari ya millioni 80 kwanyimbo moja tu iokote sasa tunashangaa nn hizi millioni 500?
hahaha: point yako ni ipi apo mkuu.Take time, learn business
Mkuu whatever sidhani kama tunabishana hapa.Kila video 1 ya Harmonize YouTube inamuingizia Mil 166 Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Video 3 za Harmonize ni Mapato ya mechi ya Simba vs Yanga wanayoingiza pale Taifa kumbe mshikaji ni Bilionea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana dah.Kila video 1 ya Harmonize YouTube inamuingizia Mil 166 Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Video 3 za Harmonize ni Mapato ya mechi ya Simba vs Yanga wanayoingiza pale Taifa kumbe mshikaji ni Bilionea.
Yaah! Nimeona kama vile kashutuliwa na shot.Ahaaa stani alijitoa ufahamu kumshika jk ghafla watu wa usalama waka mbadilikia
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo 25m ni per month auWamehamia jengo la Joseph kusaga lilikuwa la choice FM.
True mkuu..Hata Diamond nina amini ana hela ila anavyoongea na kujiweka watu lazima waongeze figure zao wenyewe, kumbe wapi..
Mbona ashaziweka zote mwenyewe, wewe kadownload tu.Zikiwekwa youtube mni shtue nika download..MB ni zangu sipangiwi na mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo paragraph yako ya pili nimeikubali.Branding bro, ni lazima uoneshe kwamba huna njaa ili promoter anapokuita kwenye promotion uwe na bargaining advantage.
Wanazitumia pia wanasheria, dressing nice, driving nice car, using top brands za simu nk.
Hii inakupa sana advantage.
Alafu watu mm huwa nawashangaa sana wanajua media ni ya domo wakati kitu ambacho sio kweli domo anahisa chache kwajili ya jina tu.hiyo 25m ni per month au
sasa hata media haina revenue ya kulipa hii kodi kweli??
Zimevuja vipi wakati naona ziko kwenye account ya Harmonize mwenyewe tena zoteNyimbo zishaanza kuvuja.
Hiyo paragraph yako ya pili nimekubali.
💯💯