TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Mistari kibao pumba kibao
 
Duh!
 
Hakuwahi

Alisoma IFM,kuikuta point 7 inasoma IFM kipindi hicho,hua ni point 7 iliyokua na kichaa,sio nzima!
Kwa nini sasa? Point 7 ni mambo ya form 4 huko...halafu kitambo hicho watu waliokuwa wanataka kusoma IT kama cpwaa wengi walikuwa wanaenda IFM au vile vyuo vya wahindi kule posta (e.g Learn IT)... mlimani kulikuwa na uhaba wa walimu wa computer
 
Ni msanii wa bongo fleva.. kitambo flani walikuwa na kundi lao linaitwa Park leen ( sina hakika kama nime spell well)

Miongoni mwa nyimbo alizopata kuimba ni kama:
1. Nafasi nyingi
2. C Pwaa
3. Action

Alipata kuwa na sauti matata sana..
Nafasi nyingine***
 

Wapi nimesema alipata 1.7?...mi naongelea huo utopolo wako wa kusema mtu akipata 1.7 hawezi akasoma IFM...utakuwa ni wakuja mshamba wewe, huwezi jua kuna kipindi mlimani, IT kulikuwa chenga kabisa
 
RIP Ilunga Khalifa aka CPWAA...Roho imeniuma sana...Namkumbuka mwamba tokea yuko Mbeya Sec na wakati anaingia katika muziki wa rap na siku anachukua ubingwa wa rap mkoa wa Mbeya...Alikuwa na tan twist za hatari akisaidiwa na mix za dj Bumla... Jamaa alikuwa mtu poa sana
 
Nakumbuka ulikuja chuoni tukiwa first year enzi hizoo ukiwa msanii machachari tulicheza mbayaaa. RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…