TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Utamjulia wapi wewe mlamba tako la mawe?

Watu mlio-sick na freedoms za watu in such a way mna suppress hadi artistic authenticity ya wasanii?

Utakaa umjulie wapi wewe?

Your own artists who reflects social actions to your population,huwajui,utakaa umjue mzee massawe mwananchi wa kawaida mchomelea masufuria pale Kimara?

You maafakaz are living in your own bubbles and think the world is like what is in your own bubbles!

Fakauraaa hiyaaaa!
Mistari kibao pumba kibao
 
Duh!
 
Hakuwahi

Alisoma IFM,kuikuta point 7 inasoma IFM kipindi hicho,hua ni point 7 iliyokua na kichaa,sio nzima!
Kwa nini sasa? Point 7 ni mambo ya form 4 huko...halafu kitambo hicho watu waliokuwa wanataka kusoma IT kama cpwaa wengi walikuwa wanaenda IFM au vile vyuo vya wahindi kule posta (e.g Learn IT)... mlimani kulikuwa na uhaba wa walimu wa computer
 
Ni msanii wa bongo fleva.. kitambo flani walikuwa na kundi lao linaitwa Park leen ( sina hakika kama nime spell well)

Miongoni mwa nyimbo alizopata kuimba ni kama:
1. Nafasi nyingi
2. C Pwaa
3. Action

Alipata kuwa na sauti matata sana..
Nafasi nyingine***
 
Bro,Cpwaa hajawahi pata 1.7 achilia mbali A ya somo lolote!

Kama una evidence weka hapa

Mtoto aliepata 1.7 F4 umkute IFM huyo aliipata kwa bahati mbaya na ubongo wake uli fluke!

Nani amekwambia UDSM kulishawahi kua na uhaba wa Walimu wa Computer?

Nadhani unaota,hujui unachosema unabuni tu,of which ni nonsense!

Wapi nimesema alipata 1.7?...mi naongelea huo utopolo wako wa kusema mtu akipata 1.7 hawezi akasoma IFM...utakuwa ni wakuja mshamba wewe, huwezi jua kuna kipindi mlimani, IT kulikuwa chenga kabisa
 
RIP Ilunga Khalifa aka CPWAA...Roho imeniuma sana...Namkumbuka mwamba tokea yuko Mbeya Sec na wakati anaingia katika muziki wa rap na siku anachukua ubingwa wa rap mkoa wa Mbeya...Alikuwa na tan twist za hatari akisaidiwa na mix za dj Bumla... Jamaa alikuwa mtu poa sana
 
Nakumbuka ulikuja chuoni tukiwa first year enzi hizoo ukiwa msanii machachari tulicheza mbayaaa. RIP
 
Back
Top Bottom