Itakua kama kilometa 30 na kwendeleaKwani pale chini panasoma kilometa ngapi?
tuanzie hapo.
Daah mkuu kwa usawa huu nioe yule..hapana aiseeMkuu wangu, afadhali iwe maji ya moto utachagua uoge ubabuke au ukimbie usalimike. Ujana hubabua hadi roho usipocheza kwa steps za mdananda. Ila mtoto mzuri yule maalim! Jitwalie tuvunje kombe! Hahahahaaa!
Unataka kulelewa [emoji15] [emoji15]Mkuu nitafutie namba zake
Seriously..
Kama nikimpata wa kunilea sawa tu niko tayari...Unataka kulelewa [emoji15] [emoji15]
Kuna muvi yake moja aliigiza mtoto wa kishua anachagua changua wanaume mwisho akakosa wa kumuoa akawa anamlazimisha hemed ili apate cheo kwa babaake, dah kumbe yamemtokea kweli asee
Huyu mwingine sijui alikuwa na mafua waqt wa kurekodi maana sauti inaleta utata kidogoJohari huyu huyu?
mimi namtaka ila niwe namfumua kwa nyuma maana kwa mbele kumechuka sana.. OvaaaaaaaaaAkihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.
Msanii huyo aliyejizolea umaarufu katika movie yake ya 'JOHARI PT. 1&2' enzi zake alikuwa anagombewa na vigogo mbalimbali wenye pesa na waigzaj wenzake ikiwemo ray na marehemu kanumba ambao mara kadhaa walipigana vikumbo kumgombea.
Lakini wahenga wanasema, ujana na nguvu ni vitu vya 'kwisha'..
Yeyote aliye tayari kumwoa johari basi amtafute maana masharti yamepunguzwa kwa 95%
Hili ni funzo kwa dada zetu wanaoringia uzuri, ujana na umaarufu wao, waache kuutumia vibaya kuepuka kadhia hapo baadaye.
Akihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.
Msanii huyo aliyejizolea umaarufu katika movie yake ya 'JOHARI PT. 1&2' enzi zake alikuwa anagombewa na vigogo mbalimbali wenye pesa na waigzaj wenzake ikiwemo ray na marehemu kanumba ambao mara kadhaa walipigana vikumbo kumgombea.
Lakini wahenga wanasema, ujana na nguvu ni vitu vya 'kwisha'..
Yeyote aliye tayari kumwoa johari basi amtafute maana masharti yamepunguzwa kwa 95%
Hili ni funzo kwa dada zetu wanaoringia uzuri, ujana na umaarufu wao, waache kuutumia vibaya kuepuka kadhia hapo baadaye.
Aisee ,nimecheka sana.Asijali kuna wadau wana nyota ya vyuma chakavu na kuna wale wenye nyota ya fisi.
watatia timu avute subira.