Msanii Johari anatafuta mume yeyote aliye tayari

Msanii Johari anatafuta mume yeyote aliye tayari

Ray kampotezea muda...... Mungu ni mwema atapata haja ya moyo wake
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu wangu, afadhali iwe maji ya moto utachagua uoge ubabuke au ukimbie usalimike. Ujana hubabua hadi roho usipocheza kwa steps za mdananda. Ila mtoto mzuri yule maalim! Jitwalie tuvunje kombe! Hahahahaaa!
Daah mkuu kwa usawa huu nioe yule..hapana aisee
 
Kuna muvi yake moja aliigiza mtoto wa kishua anachagua changua wanaume mwisho akakosa wa kumuoa akawa anamlazimisha hemed ili apate cheo kwa babaake, dah kumbe yamemtokea kweli asee

......lisemwalo lipo kama halipo..... Laja.
 
johari alikua na uzuri gani,shapeless mtindi huo kuna best wangu alijibebea mwanzo mwanzo kabla hajawa maarufu yani niipomuona nae demu mchafuchafu,pamba hana nikaona jamaa kweli kaokota.
 
Akihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.

Msanii huyo aliyejizolea umaarufu katika movie yake ya 'JOHARI PT. 1&2' enzi zake alikuwa anagombewa na vigogo mbalimbali wenye pesa na waigzaj wenzake ikiwemo ray na marehemu kanumba ambao mara kadhaa walipigana vikumbo kumgombea.

Lakini wahenga wanasema, ujana na nguvu ni vitu vya 'kwisha'..

Yeyote aliye tayari kumwoa johari basi amtafute maana masharti yamepunguzwa kwa 95%

Hili ni funzo kwa dada zetu wanaoringia uzuri, ujana na umaarufu wao, waache kuutumia vibaya kuepuka kadhia hapo baadaye.
mimi namtaka ila niwe namfumua kwa nyuma maana kwa mbele kumechuka sana.. Ovaaaaaaaaa
 
Akihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.

Msanii huyo aliyejizolea umaarufu katika movie yake ya 'JOHARI PT. 1&2' enzi zake alikuwa anagombewa na vigogo mbalimbali wenye pesa na waigzaj wenzake ikiwemo ray na marehemu kanumba ambao mara kadhaa walipigana vikumbo kumgombea.

Lakini wahenga wanasema, ujana na nguvu ni vitu vya 'kwisha'..

Yeyote aliye tayari kumwoa johari basi amtafute maana masharti yamepunguzwa kwa 95%

Hili ni funzo kwa dada zetu wanaoringia uzuri, ujana na umaarufu wao, waache kuutumia vibaya kuepuka kadhia hapo baadaye.

Kachemka tu baada ya kuona umri umekwenda. Wanaume wanaona na kuweka kumbukumbu kapuni mpaka siku ya siku ifike wamtolee mapovu. Johari alikuwa bizi kujiuza na aliweka ufuska kama kipaumbele chake.
 
Back
Top Bottom