Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli hapumzishwi na wahuni wa mtandaoni.Mkuu, mwanzo ulisema tusiamini MAINSTREAM ila sasa unasema tena tusiwaamini MA-STAR ninashindwa kukuelewa kaka mkubwa.
Hahaha hizo hasira watazionyesha kwa lissu kutokana na kusaliti Nchi yetu.Mkuu, it's a true story from a reliable source...
Kwanza mtoto wa Jackie chen hawezi kuwa maskini .Usiamini kila kitu unachokisoma kwenye mainstream media, hakuna Binadamu wa kawaida akawa katili kiasi hicho kwa damu yake mwenyewe labda kama ni psychopath, ...
Hajielewi yule jamaa, anashindaga magereza daily, na drugs hazichezi mbaliKwanza mtoto wa Jackie chen hawezi kuwa maskini .
Ipi hiyo? Hao mastar usiwaamini sana, wanasema hivi, wanaishi vile!
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo.Swali zuri sana hili mkuu.
Magufuli anatoa elimu bure iliyomshinda mkoloni.Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Tanzania?
View attachment 1544302
Kuwa mtoto wa nyota wa sinema wa kimataifa kama Jackie Chan ni dhahiri kwamba huja na marupurupu mengi na faida. Mtoto wa Jackie Chan, aliyekuwa na umri wa miaka 33 kwa wakati ule anayeitwa Jaycee, aliishi maisha yaliyojaa nyumba za kupendeza, likizo za kifahari, magari ya bei aghali, elimu bora na mengine mengi.
Jaycee hata aliweza kuzindua kazi yake mwenyewe ya kuimba na maigizo kupitia umaarufu wa baba yake. Lakini kuna jambo moja muhimu ambalo Jaycee hatapata kutoka kwa baba yake: Mamia ya mamilioni ya dola za urithi. Nyota wa movie maarufu ya Rush Hour tayari ameamua kutoa nusu ya pesa zake kwa taasisi za hisani na watoto yatima pindi atakapokufa.
Alipokuwa akiongea kwenye hafla ya tuzo miaka kadhaa iliyopita alisema kuwa hakuwa na mpango wa kumwachia mtoto wake Jaycee mamilioni ya dola ambayo ameyoyapata wakati wa kipindi chote cha kazi yake ya kucheza filamu. 'Kama ana uwezo, anaweza kupata pesa zake mwenyewe. Ikiwa hana uwezo wa kutengeneza pesa zake mwenyewe, basi atakuwa akipoteza pesa zangu tu hata nikimuachia, 'watu walimnukuu Chan akisema.
Chan pia alifichua siri yake ya muda mrefu ya kuwa alitamani amuingize mwanae Jaycee ajiunge na jeshi akiwa mdogo kama njia ya 'kumpima tabia yake'. miaka michache iliyopita uvumi ulisambaa ya kwamba Chan, aliyekuwa na miaka 56, alikuwa amekufa kwa ugonjwa wa moyo na salamu za pole 'RIP Jackie Chan' zilianza kuenea katika mitandao ya kijamii kama vile Twitter.
Chan alikuwa mwepesi wa kutupilia mbali ripoti hizo na kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wake wa Facebook akiwahakikishia mashabiki wake kuwa bado yuko hai na yuko vizuri. Akizungumzia uvumi huo, Chan alisema: 'Sijafa, ingawa niko busy sana ili niweze kufanya kazi hadi kufa. 'Natamani media ikiripoti zaidi juu ya huduma za umma na habari za huduma za kijamii badala ya kejeli kwa maana ni za thamani kubwa zaidi.
'Hata Will Smith alidanganywa na kuomboleza kifo changu kwenye mtandao wa Tweeter. Chan kwa wakati ule alikuwa anafanya kazi katika mashirika ya kusaidia kutoa misaada kwa waathiriwa wa tetemeko la ardhi la Japan na Tsunami.
Je, maamuzi magumu kama haya yanatuma ujumbe gani kwa wazazi waishio katika nchi hizi za Afrika Tanzania?
Mzazi tafadhali sana usipite bila kusema neno lolote.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
CHADEMA msimfananishe Rais Magufuli na vitu vya hovyo.Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Tanzania?

Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Tanzania?

Tutakuwa kama Ulaya mkuu wa UVCCMKama miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?