Msanii kutoka Hong Kong, ndugu Jackie Chan apanga kutoacha urithi kwa watoto wake. Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?

Kwa Africa bado tupo nyuma sana katika maamuzi,kwani kumlithisha mtoto ni dhambi?
 
Usiamini kila kitu unachokisoma kwenye mainstream media, hakuna Binadamu wa kawaida akawa katili kiasi hicho kwa damu yake mwenyewe labda kama ni psychopath, ...
Kwanza mtoto wa Jackie chen hawezi kuwa maskini .
 
Magufuli anatoa elimu bure iliyomshinda mkoloni.
 
CHADEMA msimfananishe Rais Magufuli na vitu vya hovyo.
 
Ni UPUUZI tena wa hali ya juu mzazi kuwa bilionea kisha utajiri wake wote akawaachia watu baki huku wanae asiwape hata senti moja. Hakustahili kuwa mzazi huyu.

 
Kama miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…