Msanii kutoka Nigeria, aingiwa na hofu baada ya comment section kujaa na 'No reforms No election’

Tume huru unazijua wewe mtu wa Dar au Arusha, mwananchi wa kawaida kule Liwale hana muda wa hizo habari za tume huru kwake yeye cha muhimu korosha zipate soko, watoto waende shule, akiugua asipate taabu ya kutembea mwendo mrefu, hivyo ni vitu muhimu kwenye maisha ya kila siku ya mtu wa kawaida.

Mbwembwe za tume huru tunazijua sisi tunaoishi karibu na magazeti, vitabu na mitandao ya simu.
 
Dr mpumbavu ndo huyu sasa
 
Uvccm kwa nini wasisaidie jamani!
 
Kinach
Vijana huko insta na facebook wanapewa pesa kuandika huo upuuzi wakidhani unaweza kuja na lolote jipya.

Hizo ni harshtags tu, haziwezi kwa namna yoyote ile kuiondoa CCM pale ikul
Kinachowaponza mnaamini vijana Hawana utashi wao ndiyo maana mnawadharau na kuwanunulia pikipiki za CCM sasa hivi mkisikia No reforms no election haja kubwa inawabana.
 
No reform no election itakua na wafuasi mi 15!!! Kwa hiyo kaa kitaalam bwana mdogo!!!
 
Kinach

Kinachowaponza mnaamini vijana Hawana utashi wao ndiyo maana mnawadharau na kuwanunulia pikipiki za CCM sasa hivi mkisikia No reforms no election haja kubwa inawabana.
Yaan zile pikipiki hata kuzisogelea inanipa ukakasi sana !!!
 
Hizo zilizotangulia zilikuwa kama wa mwaka 2019/2020? Au umesimuliwa tu?
Bado ni chache kulinganisha na nyingi za haki, Tatizo la harakati zetu zinashindwa kuwa na mashiko kwenye maisha ya mtu wa kawaida kabisa.

Zinakuwa ni zenye kuanza na kuishia mijini, hazijaweza kuwa na ukaribu na mpiga kura anayemjua kwa ukaribu mbunge wake.
 
Wanaokataliwa na wananchi ni wale wanapora chaguzi na kutunga Sheria za ajabu ajabu ili kujipa nafuu ya kushinda uchaguzi!
wananchi wakikukataa kwenye sanduku la kura huna haja kusingizia kuibiwa, unalazimishaje maamuzi ya wananchi yawe upande wako na hawajakuchagua?
huo si ulofa gentleman?🐒
 
Kinach

Kinachowaponza mnaamini vijana Hawana utashi wao ndiyo maana mnawadharau na kuwanunulia pikipiki za CCM sasa hivi mkisikia No reforms no election haja kubwa inawabana.
Hayo ni maneno sawa na yale yanayoandikwa kwenye kanga za kinamama.
 
Bora mshua wako bao alilopiga kukuleta duniani angepiga nyeto akutupe chooni​
 
Punguza kujieleza😁
 
wananchi wakikukataa kwenye sanduku la kura huna haja kusingizia kuibiwa, unalazimishaje maamuzi ya wananchi yawe upande wako na hawajakuchagua?
huo si ulofa gentleman?🐒
Kabisa. Yaani wananchi wanakukataa halafu wewe unamlazimisha msimamizi wa uchaguzi akutangaze, huko ni zaidi ya uhalifu wa kiuchaguzi, hiyo ni kuchachawa!
 
Naona amegusa mulemule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…