Msanii kutoka Nigeria, aingiwa na hofu baada ya comment section kujaa na 'No reforms No election’

utajitekenya sana mwaka huu, nyooo
 
Muambieni tu akija kwenye taifa teule akina naniliu watamnanihii🐼
 
NN ALIKWAMBIA HY MTU WK ATASHINDA?
 
Wanawadharau huku wanawaogopa hashtag nchi ipo tayari kwa mabadiliko wako wapi wale 13million registered member wenu kuwatetea?
 

Attachments

  • FB_IMG_1749139137988.jpg
    34.5 KB · Views: 21
Watu kama nyie vilaza ndiyo mtaji wa fisiem,korosho tu ingesaidia kuondoa umasikini kwenye mikoa ya kusini kama mngekuwa na akili.
Mtoto aende shule kwa elimu ipi bora inayotolewa kwenye nchi hii kama sio ujinga mtupu mnaofanya.Hamna uwezo wa kuongoza hii nchi mnalazimisha tu,wapeni wasomi nchi waongoze wapo kibao kwa sasa.
 
njoo huku.najilinji ujionee vile huyo ajuza wsko unaerefusha shingo kumtetea anavochukiwa, utajua hujui, atatoka tuu just relax then wait and see, chawa mpumbavu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna vitu unaandika mwenyewe, halafu ukimaliza unajiambia "ila njaa hizi"
 
Vijana wanaongozwa na mihemko ya muda mfupi, chama tawala kipo tangu 1977 huwezi kukiondoa kwa hisia ambazo chanzo chake ni ubinafsi wa kundi dogo la watu.
hahahahaaa utajitekenya ssnaa chawa mkubwa, unahofia ajira yako ya uchawa inaenda kuisha? tafuta kazi mbwa wewe uso na haya, sura imekuparama kwa uchawa, nyooo

nishakufahamu japo umetumia id fake [emoji23]thats why naishia kukudharau tu maana hunaga akili as always
 
Kabisa. Yaani wananchi wanakukataa halafu wewe unamlazimisha msimamizi wa uchaguzi akutangaze, huko ni zaidi ya uhalifu wa kiuchaguzi, hiyo ni kuchachawa!
vyombo vya ulinzi na usalama ni muhimu sana kuhakikisha maamuzi ya wananchi kupitia tume huru ya taifa ya uchaguzi yanalindwa bila mbambamba yoyote.

mayowe na mihemko ya vibaka na matapeli wa kisiasa waliokstaliwa na wananchi kwenye sanduku la yapuuzwe daima gentleman 🐒
 
No no big NO bosi. Usidhani hiki ni kikundi kidogo. Dkt Samia anachukiwa na kila mtanzania anayehisi hana cha kupoteza, ni kundi kubwa sana.

Kumchukia Samia ina saidia nini? Tatizo la hii nchi ni CCM sio Samia, Samia ni just part of the problem.
 
mayowe na mihemko ya vibaka na matapeli wa kisiasa waliokstaliwa na wananchi kwenye sanduku la yapuuzwe daima gentleman 🐒
Na Mimi nakubaliana na wewe kuwa mayowe ya vibaka na matapeli wa kisiasa kuwa Kuna watu wanataka kuvuruga Amani kwa kutaka kuwe na uchaguzi huru na wa haki. YAPUUZWE na Kila mtanzania.
 
Kumchukia Samia ina saidia nini? Tatizo la hii nchi ni CCM sio Samia, Samia ni just part of the problem.
Unawezaje kwa sasa kuishughulikia CCM bila ya kumshughulikia Mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan?
 
Pia mwambie, miboya hiyo ipo kwa muda mfupi tu, kufikia mwezi novemba, baada ya ushindi wa mama Samia wa 98%,
Samia yupi? Option ya kumuondoa kwa uchaguzi mmeshaivuruga sasa wenye nchi yao watakuja na plan B, sadly anaweza asifike hata hiyo oktoba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…