Msanii kutoka Nigeria, aingiwa na hofu baada ya comment section kujaa na 'No reforms No election’

mimi niko Newala na nasema NO REFORM NO ELECTION
 
Vijana huko insta na facebook wanapewa pesa kuandika huo upuuzi wakidhani unaweza kuja na lolote jipya.

Hizo ni harshtags tu, haziwezi kwa namna yoyote ile kuiondoa CCM pale ikulu.
Hata Ben Ali hakutegemea kama yale maandamano machache yangeweza kimtoa Ikulu
 
Sasa zuio la ndege zetu kutua nchi zilizoko kwenye EU utalitatuaje,ndugu yangu?
Suala dogo sana hilo ewe nyumbu wa chadema chakavu, subiri wakubwa waongee na utaniambia. Nyie watoto wadogo msioelewa chochote endeleeni kurukaruka humu bila mpangilio eti kumfurahisha lissu.
 
No Reforms No Election
 
Kampeni imekuwa global sasa, huu upuuzi unaoendelea umefanya iende viral. It is a developing story, new series unfolding everyday
 
Suala dogo sana hilo ewe nyumbu wa chadema chakavu, subiri wakubwa waongee na utaniambia. Nyie watoto wadogo msioelewa chochote endeleeni kurukaruka humu bila mpangilio eti kumfurahisha lissu.
Mi siyo mfuasi wa yeyote,mi ni mwanchi tu na hizo ndege zinatakiwa zitue Ulaya pia,ili mapato yaongezeke
 
Kampemi ya Mange imeanza kushika kasi
 
Wewe ukiwa miongoni mwao hao mazuzu.
 
Kumchukia Samia ina saidia nini? Tatizo la hii nchi ni CCM sio Samia, Samia ni just part of the problem.
Yaani Dkt Samia anachukiwa kwa matendo yake ya kukaa kimya panapokuwa nayo matatizo, yaani yeye anakolezea ikitokea.
 
Kakutana na za uso
 
Mange anawasumbua hamlali hahahhah
 
Vipi kuhusu watekaji, nao bado wataendelea kuwepo?
 
Mkuu najua unajua ila unajifanya hujui.

Nchi hii ukiweka uhuru kidogo tu itakushangaza kwamba kila mtu anataka No reform no election hadi kule Liwale kwa Wamang'ati wafugaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…