Msanii kutoka Nigeria, aingiwa na hofu baada ya comment section kujaa na 'No reforms No election’

Uhuru wa kampeni upo kwa miaka yote mitano, tatizo la ndani lisiloongelewa ni ukweli kwamba CCM inapambana na maadui wa kutokea nje wenye vibaraka wao humu ndani.
 
Mkuu najua unajua ila unajifanya hujui.

Nchi hii ukiweka uhuru kidogo tu itakushangaza kwamba kila mtu anataka No reform no election hadi kule Liwale kwa Wamang'ati wafugaji
Sio kweli mkuu. Samia anapita njia zile zile za JPM, kupunguza siasa kuwa nyingi mitandaoni wakati serikali yake ikifanya kazi nzito ya kumalizia miradi mikubwa.
 
Wenye akili ni nyinyi mnaoandika maneno ya Lissu bila ya kujua malengo ya wanaomtuma.
 
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana
Elimu kuna mahali ilikosewa, vijana wengi haswa wa mijini wanakua huku wakiwa na akili zenye maarifa machache.

Kila kitu wanachohisi kinawapa umaskini wanaanza kukishambulia wakiaminishwa ndio chanzo cha matatizo yao.
 
Hata wakipewa wasomi nchi bado mtakuja kulialia humu JF, hakuna utajiri unaogawiwa bure bure tu mtaani.

Kama serikali haijakufikia wewe, wapo vijana wadogo kuliko wewe hivi sasa wanafaidika na fursa zilizopo ambazo zinatokana na serikali ya sasa.
 
Na wanaujua ugumu wa kuuza korosho hizo hizo kwa hiyo no reform no election itawasaidia kwa namna nyingine!!!
 
Kwa hali ilivyo sasa hata wageni wa kitaifa watapokewa na ujumbe huu. Usishangae kumuona mgeni wa mama ikulu akipelekewa message hii
 
No reform.................................................no election
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…