Msanii Lina Sanga aporomoshewa matusi kwa kuanika picha za nusu utupu za ujauzito wake

Msanii Lina Sanga aporomoshewa matusi kwa kuanika picha za nusu utupu za ujauzito wake

Mmmh.!!jamani she don't deserve any kind of abuses. Mbona na yeye kaamua Ku adopt culture za globalization Kama wengine tunavyo adopt other global things?? Ifike kipindi watu waache kuwaingilia mipaka wenzao. Hata mkimtukana haibadilishi kitu jamani
 
Mtoto anaraha yake Haswa kama hukutegemea ungempata so furaha yake ameona ashare na sisi wa kutuachia kila kitu wazi najaribu kumuelewa why anafanya yote hayo ila ushauri tu kwenye Maisha kuwa na privacy ni muhimu sana inafaida nyingi maana angepiga picha aweke kama kumbukumbu yake na sio kuanika kwa social networks
 
Heee...,!!hata kama anataka watu wajue anaujauzito ndo aweke tumbo wazi.
 
ha haha kuna mwalimu wangu wa sekondari alikuwa akitaka kukutusi anakuambia kama unajiona mzuri panua hiyo miguu uone kama bado mzur akiwa na maana etinyuchi zetu zinasura mbaya
Ila kuna Ka ukweliii ndanii yake... " Mimi huwa hata siiangaliii naweka tu macho yote mbelee... [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom