Msanii Lina Sanga aporomoshewa matusi kwa kuanika picha za nusu utupu za ujauzito wake

Msanii Lina Sanga aporomoshewa matusi kwa kuanika picha za nusu utupu za ujauzito wake

ha aha ila katamu nasikia.. h ahaha nacheka yule mwalimu mbaya sana .. mwalimu msuya
Yes... Kautamu kanakuja iwapo utapata ambako atleast kana tight ka rubber band tofouti na Hapo... Majanga [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katika vitu vinavonikwaza sasa hivi ni kutokujiheshimu mwanammke.
sasa hivi mpaka watoto wanajua aina za nyuchi, na matumbo ya mimba.
Tabia gani hio sasa.
Hiyo hatari sana kwa vivazi vya sasa kila kitu wanajua wakati zamani mtu una miaka 15 bado huelewi kitu
 
Jamii imepoteza mwelekeo. yaani mtu hana ndoa lakini anajivuna kutuonesha mimba. Hivi kuna lipi ulilofanya la ziada kupata mimba ambalo wengine hawawezi? Nyambaaafu
 
Mbna kina Beyonce wakipiga mnaishia kugonga like... Wabongo acheni unafiki

Hicho ni kipindi kitamu sana kwa kijana ukifika utajua
Acha ubashite wewe kijana... Kwahiyo ukiona wenzako wanaliwa Kiboga wakagongewa like, nawe uliwe kiboga kwakua uneziona like nyingi.... Tumia akili.
 
Kungekua na restrictions kama....baadhi ya watu flani tu kuruhusiwa kuwa na watoto, baadhi ya watu flani tu kuruhusiwa kupiga kura n.k
 
Uhenda alitoa sana mimba kwaiyo kupataiyo mimba ni zali tu
Subir azae mjusi ata mweka uyo mtt
 
Daaah asee kweli ni Mungu tu atusaidie maana sasa tumefikia pabaya..
 
Sijawahi kupenda hizi mambo watu wanapiga picha za ujauzito mimi...

Anyway kama ndio maisha ya celebrity sawa...ila kibongo bongo imekaa kushoto sana
 
Tanzania ni nchi huru kila mtu anauhuru wa kufanya chochote pasipo kuvunja sheria hivyo mumuache la sivyo hamieni Saudia kule wanakokata watu vichwa.
 
Back
Top Bottom