Hakuna dini nyingine duniani zaidi ya Uislam.
Wewe kitabu kipi ulifunsdishwa hiyo unayoifata kuwa ni dini?
Yesu mwenyewe akija leo ukimwambia "Mimi Mkristo" atakushangaa, haujuwi ukristo wala hajawahi kuusikia.
Bibi njoo huku kwa Yesu Kristo kumenoga...Tena kubwa sana.
Kuna fursa zaidi ya kujisalimisha kwa Muumba wake?
Vipi wewe, hujaiona fursa?
Kambi yenu inabomolewa Sana...huenda kavutiwa na sura ya Maryam au ya Wana wa IsraelHaya yote ni baada ya kufurahishwa na Koran Sura ya Majini na mashetani aya za Shetain.. Hongera zake kuchagua hell...
Huko si kwa yesu Bali kwa wakiristo,yesu hakujiabudu Wala kujiomba,alimuomba Mungu mwenyezi kila alipokwazika,nyinyi mnamuabudu yesuBibi njoo huku kwa Yesu Kristo kumenoga...
Fursa za kuslimu ili nipate danga wapi na wapi
just like Al Shabab and AlqaeidaNdugu yangu kuwa muislam ni kujsalimisha kwa Muumba wako.
Uislam ni mfumo wa maisha yako kamili hapa duniani. Kutenda, kuamrisha mema na kukataa na kukataza maovu.
Lazima binaadam ujielewe upo hapa duniani kwa ajili ya nini?
Oyaaaaaaa!!!Madam Samahani, Kwenye simu sikupati, PM umefunga.
Mi nishafika chimbo, hamna wa kukuona, Jamaa anauliza leo akutengenezee Kavu au rosti?
Anauliza akuchanganyie na Mafuta au unataka pua tuu kama unavyopendaga?
Ukija zunguka uwani kule store Muddy yeye tayari ameenda kujifungia kule store anakula.
Usisikilize wanafiki humu, tupo Pamoja.
Huu ujinga imebidi nicheke tu 🤣Madam Samahani, Kwenye simu sikupati, PM umefunga.
Mi nishafika chimbo, hamna wa kukuona, Jamaa anauliza leo akutengenezee Kavu au rosti?
Anauliza akuchanganyie na Mafuta au unataka pua tuu kama unavyopendaga?
Ukija zunguka uwani kule store Muddy yeye tayari ameenda kujifungia kule store anakula.
Usisikilize wanafiki humu, tupo Pamoja.
🤣🖕Haya yote ni baada ya kufurahishwa na Koran Sura ya Majini na mashetani aya za Shetain.. Hongera zake kuchagua hell...
Ushasema MSANII hujui labda ni script mpya ndio imemuelekeza kufanya hivyo, fuatilia kwa umakini kuna kuumbuka haya Mambo ya wasanii waachie wasanii wenyeweNdugu yangu kuwa muislam ni kujsalimisha kwa Muumba wako.
Uislam ni mfumo wa maisha yako kamili hapa duniani. Kutenda, kuamrisha mema na kukataa na kukataza maovu.
Lazima binaadam ujielewe upo hapa duniani kwa ajili ya nini?
Wagalatia watamwaga matusiMsanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizji, amesilimu.
Ni mwigizaji wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu na mfanyabiashara, Mercy Aigbe ambaye hivi karibuni amesilimu. Kusaidia Hadithi za Uongofu wa Kiislamu.
Mercy ambae amechaguwa kw sasa aitwe Hajiya Meena amesilimu mwezi wa Ramadhan iliyopita baada ya kujifikiria kwa muda mrefdu. Mwaka huu pia amekwenda Makkah Kuhiji.
Allahu Akbar.
Lipi la ajabu? ata mama yake Mnganga wa kienyeji Mwaipopo kasilimu....Msanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizji, amesilimu.