Msanii Maarufu wa Nigeria Mercy Aigbe Asilimu

Msanii Maarufu wa Nigeria Mercy Aigbe Asilimu

Hakuna dini nyingine duniani zaidi ya Uislam.

Wewe kitabu kipi ulifunsdishwa hiyo unayoifata kuwa ni dini?

Yesu mwenyewe akija leo ukimwambia "Mimi Mkristo" atakushangaa, haujuwi ukristo wala hajawahi kuusikia.

wewe bibi dini ni nini??
 
watu wengi wanaingia uislam

andrew tate kasilimu juzikati na ni mfano bora kabisa katika uislam.

tyson ni muislam safi waislam wanajivunia yeye na anauza bangi na kuvuta vyema kabisa.

barnaba huyu hapa juzikati kasilimu.

wakati manjivunia hao watu kwamba wameiona kweli,wenzenu wanautumia kama biashara maana wanajua mkiishawatamkia “mashaallah”hata jicho wakiomba mnawapa.
 
Fear woman, huyu Maria ni nyakunyakuu ameslim kwa ajili ya mme wa mtu,kiufupi alijipatia Alihaji wake Tajiri akajislimisha mazima ili afaidi pesa hamna lolote.
Hata wewe kibibi ukipata kibabu chenye mshiko unakuja kwenye ukristo.
 
Tena kubwa sana.

Kuna fursa zaidi ya kujisalimisha kwa Muumba wake?

Vipi wewe, hujaiona fursa?
Bibi njoo huku kwa Yesu Kristo kumenoga...
Fursa za kuslimu ili nipate danga wapi na wapi
 
Haya yote ni baada ya kufurahishwa na Koran Sura ya Majini na mashetani aya za Shetain.. Hongera zake kuchagua hell...
Kambi yenu inabomolewa Sana...huenda kavutiwa na sura ya Maryam au ya Wana wa Israel
 
Bibi njoo huku kwa Yesu Kristo kumenoga...
Fursa za kuslimu ili nipate danga wapi na wapi
Huko si kwa yesu Bali kwa wakiristo,yesu hakujiabudu Wala kujiomba,alimuomba Mungu mwenyezi kila alipokwazika,nyinyi mnamuabudu yesu
 
Ndugu yangu kuwa muislam ni kujsalimisha kwa Muumba wako.

Uislam ni mfumo wa maisha yako kamili hapa duniani. Kutenda, kuamrisha mema na kukataa na kukataza maovu.

Lazima binaadam ujielewe upo hapa duniani kwa ajili ya nini?
just like Al Shabab and Alqaeida
 
Madam Samahani, Kwenye simu sikupati, PM umefunga.

Mi nishafika chimbo, hamna wa kukuona, Jamaa anauliza leo akutengenezee Kavu au rosti?
Anauliza akuchanganyie na Mafuta au unataka pua tuu kama unavyopendaga?

Ukija zunguka uwani kule store Muddy yeye tayari ameenda kujifungia kule store anakula.

Usisikilize wanafiki humu, tupo Pamoja.
Oyaaaaaaa!!!
Kwamba madame anapakia Kitibaridi na kushusha na K-Vant swafi kabisa
 
Mimi kabla kubadili dini nataka mtu tuelewane kabisa kwamba kama nitakufa na nitakua nimeingia chaka abebe kabisa mizambi yangu kwa maandishi na sahihi zetu ili nikifa nikakuta mambo kinyume niwaambie malaika wadili na aliyenishawishi kubadili
 
Madam Samahani, Kwenye simu sikupati, PM umefunga.

Mi nishafika chimbo, hamna wa kukuona, Jamaa anauliza leo akutengenezee Kavu au rosti?
Anauliza akuchanganyie na Mafuta au unataka pua tuu kama unavyopendaga?

Ukija zunguka uwani kule store Muddy yeye tayari ameenda kujifungia kule store anakula.

Usisikilize wanafiki humu, tupo Pamoja.
Huu ujinga imebidi nicheke tu 🤣
 
Ndugu yangu kuwa muislam ni kujsalimisha kwa Muumba wako.

Uislam ni mfumo wa maisha yako kamili hapa duniani. Kutenda, kuamrisha mema na kukataa na kukataza maovu.

Lazima binaadam ujielewe upo hapa duniani kwa ajili ya nini?
Ushasema MSANII hujui labda ni script mpya ndio imemuelekeza kufanya hivyo, fuatilia kwa umakini kuna kuumbuka haya Mambo ya wasanii waachie wasanii wenyewe
 
Sisi mambo ya kusilimu mtu yana umuhimu gani kwetu??

Mtu akiwa mkristo,muislamu,Hindu au asie na dini wote ni binadamu.

Na hakuna mtu aliekufa alafu akarudi kusimulia kuwa kule mbinguni kuna waislamu tu,au ni mbingu ya wakristo tu.

Tuwe na misimamo kiasi ya dini utaishi vizuri na watu popote pale
 
Msanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizji, amesilimu.

Ni mwigizaji wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu na mfanyabiashara, Mercy Aigbe ambaye hivi karibuni amesilimu. Kusaidia Hadithi za Uongofu wa Kiislamu.

Mercy ambae amechaguwa kw sasa aitwe Hajiya Meena amesilimu mwezi wa Ramadhan iliyopita baada ya kujifikiria kwa muda mrefdu. Mwaka huu pia amekwenda Makkah Kuhiji.

Allahu Akbar.

Wagalatia watamwaga matusi
 
Nilifikiri ni mercy chinwo mwimbaji wa nyimbo za injili, kumbe ni huyo muigizaji? Waigizaji huwa ni waigizaji tu hawaeleweki hata kwenye maisha ya kimahusiano ya ndoa ni chenga tupu, mifano ipo. Kaamua kwenda kuujua na uislam ukoje, ana uhuru hata wa kumuabudu shetani
 
H
Msanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizji, amesilimu.

Ni mwigizaji wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu na mfanyabiashara, Mercy Aigbe ambaye hivi karibuni amesilimu. Kusaidia Hadithi za Uongofu wa Kiislamu.

Mercy ambae amechaguwa kw sasa aitwe Hajiya Meena amesilimu mwezi wa Ramadhan iliyopita baada ya kujifikiria kwa muda mrefdu. Mwaka huu pia amekwenda Makkah Kuhiji.

Allahu Akbar.

Lipi la ajabu? ata mama yake Mnganga wa kienyeji Mwaipopo kasilimu....
 
Back
Top Bottom