Thibitisha kwamba hajafa basiHajafa, ni UONGO! #fake news#
Moja ya tamthilia bora sana TanzaniaDah mzee SANADI kwenye maneno ya kuambiwa...
Wanasema hajafaRest well Jengua
Ulikua hodari sana kwenye sanaa
Alikuwa kundi tofauti. Kiuigizaji, Kaole walikuwa vizuri sana. Michezo yao walikuwa wanaigiza vizuri. Hao akina Jengua, (CHEM CHEM KIDEDEA) michezo yao ilikuwa ni ya kitoto toto sana.Kaole haihusiani na jengua
Juzi tena kuna sehemu nilisoma amefarikiWanasema hajafa
Chocolate sio!?Jengua wa Kidedea? R.I.P mzee wetu.
Nimekumbuka sana ile soundtrack ya wajelajela Original katika maigizo yale ya ITV.