Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kuwa na busara,unaongea kama utaishi milele vile!siri ya kifo cha mtu aijuae ni Muumba..Kifo ni kifo tu hata ikiwa kwa bodaboda au ugonjwa wa nyani ulioutaja..Yua very stupid.Mzee Mohammed Fungafunga maarufu katika tasnia ya filamu kama "Jengua" amefariki dunia leo Desemba 15, Mkuranga mkoani Pwani baada ya kuugua kwa muda mrefu....
Niliacha kuangalia bongo movie 2013 ....Moja ya tamthilia bora sana Tanzania
Haswaaaaa na hajitambui kabisa!Kuwa na busara,unaongea kama utaishi milele vile!siri ya kifo cha mtu aijuae ni Muumba..Kifo ni kifo tu hata ikiwa kwa bodaboda au ugonjwa wa nyani ulioutaja..Yua very stupid.
alipooza its not a new thingHayo maradhi yaliyomuua Jengua ni mapya kabisa huku duniani
Ni Kama lile na Nape ama la Membe?KORONA NI KAMA STREKA! kwahiyo mtu akipata homa ya kawaida ya kupunguza Immunity HAPO KORONA NDIPO INAINGIA KATI NAKUPIGA GOLI LA KICHWA!
Tuendelee kuchukua tahadhari!
Noma sana
Ukimwi sio tishio Kama kansa na kisukari, yaani non communicable disease ndo inaongoza kuua watu wengi na sio ukimwiUliingia kwa 'Binadamu' kutokea kwa 'Nyani' wa Misitu ya Congo DR ( zamani Zaire ) na Kugundulika nchini Uganda mwaka 1981. Unawafagia sana.
Peace alikua mchepuko wake nayeye alishafariki kitambo, tabia ndo alikua mtoto akeYeah ni level za kina mzee Majuto nakumbuka alikua na mtoto wake anaitwa Peace kwenye maigizo ya kidedea enzi hizo da alikuwaga noma sana dingi mkali mtoto anatoroka kwenda disco
Sepetu kaungua halaf anadanganya watu et kakata utumbo....wakat aliopita nao wote tunawajua na wameungua...bongo muvi ni death trapMzee Mohammed Fungafunga maarufu katika tasnia ya filamu kama "Jengua" amefariki dunia leo Desemba 15, Mkuranga mkoani Pwani baada ya kuugua kwa muda mrefu...
Kaongea as if yeye ataishia milele, unaweza usiwe na ukimwi na ukafa kabla ya mtu mwenye ukimwiKuwa na busara,unaongea kama utaishi milele vile!siri ya kifo cha mtu aijuae ni Muumba..Kifo ni kifo tu hata ikiwa kwa bodaboda au ugonjwa wa nyani ulioutaja..Yua very stupid.
MKONGWE wa Tasnia ya Maigizo nchini Mohammed Fungafunga maarufu Kama Mzee Jengua amefariki dunia asubuhi ya Disemba 15 huko Mkuranga, mkoani Pwani....