nikuulizee..?!"INNA LLAHA TWAYYIBUN LA YAQBALU ILLA TWAYYIBA" INA MAANA KUWA "HAKIKA YA ALLAH(MW/MUNGU) NI MZURI HAKUBALI ILA VILIVYO VIZURI". PERIOD. ILA MLANGO WA TOBA UPO AKIACHA AYAFANYAYO NA KUMREJEA MOLA WAKE BASI ATASAMEHEWA KWANI HAKIKA YA MW/MUNGU NI MWINGI WA MSAMAHA KWA WAJA WAKE.
upo binamu?!Yaani hapa umenikosha sana...... Ajabu hawaoni kuwa hizo sadaka twazitoa tena wengine tuna dhambi hatari diamond haoni ndani...
Good job Diamond
Kitendo cha wewe kujua tu kwamba anajenga Diamond inatosha kujua kaitangaza.Hajaitangaza ila mimi ndio nimeamua kuitangaza.
Hii vijana wa bwan mudy hawaipendi hii...[emoji23]KITIMOTO= NGAMIA, VYOTE HARAMU TU.
Swali la kijinga Sana. Rudi shuleAfrica ipi?
safi mod hawa ndio wanafanya JF kulewa misukosuko.Mh!! Mipasho hiyo
ndugu we unaishi kwenye handaki nn? unaonekana huna Idea kinachoendelea dunianiKila mtu na zama zake, ndio maana nikasema bora kwa mwaka huu. Wala sijazungumzia utajiri ila ubora wa msanii. Hao uliowataja walikuwa bora kwa wakati wao sasa hivi wamebaki kupewa heshima tu. NIMEELEWEKA
Mtoa mada mwenyewe alishaingiza mambo ya uteam inaonekana hujasoma vizuri postBINADAMU WALIVYO WANAROHO MBAYA WATAINGIZA UTIMU KWA MAMBO HAYA
daaaaah mkuu ndo uwezo wake kumkomesha we jenga mkubwa kuliko huo alafu kimya kimya wala uclete habar hapa jamviniHuo ni msikiti au kajumba ka kunywea kahawa? Angejenga walau wenye size ya msikiti wa Mahita Moro au ule wa Ghadafi Dom tungemuelewa
Mumche Mola huku kiburudika na nataka kulewa lewa nataka kulewa lewaHili ni jambo la kheri,halipaswi kabisa kubezwa.
Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila kwa hili nampongeza.
Ifikie mahali tuache unafiki,ni nani asiye na dhambi kati yetu?Kuvaa kwake hereni hakumzuii kujenga msikiti, ingekuwa ndio hivyo basi hata swadaka tulio wengi tusingetoa misikitini maana kama ni utimilifu ndio kigezo cha kutoa swadaka hakika hakuna aliye kamili zaidi ya Mtume Muhammad (S.A.W)
Allah akuzidishie kheri Nasib,uzidi kujenga misikiti mingine mingi watu wapate kufanya ibada na kumcha Mola wetu.
wakati mwingine bora kunyamaza tu haswa kwa mambo ucyo na elimu nayo maana ukiongea ndo watu hutambua we ni mmtu wa namna ganiHuo msikiti haufai kufanyiwa ibada ya swala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]pesa za wimbo unasema "anifinyie kwa ndani.." ndio zinajenga msikiti?
Kwa sasa.hivi mtoa mada kumbe uliandika msanii namba1 africa? Aisee sikuona kabisa hii pumba uliyoandika list ya wasanii bora Africa ni ndefu sana hadi umkute Diamond acha kuandika kwa mahaba