Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Hata mimi namkubari ila mi niliacha bangi baada ya watu kufananisha kila tukio baya na bangi tena wanaita Mibangi
Bob alikuwa na kitu cha zaidi ya kula kaya,na huwezi kuwaridhisha binadamu wote,remember that,kwa nini wasifananishe na pombe?
 
Duuuh ivi inanogaga zaid mkiwa mnafanya uku mnajirekodi????

Ebu leo nitajaribu na bae nione inakuaje.
Mmasai yule asiponilamba vichwa cjui mana kibuti kitakua hakitoshi
Chunga meno usijebaki kibogoyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nandy hakuna haja ya kuomba msamaha, tengeneza video nyingine nyingi kama hizo sisi tunasubiri.
 
Star anashindwa kununua hata chup nzuri, yenye kuvutia?? Jamani mama zetu anzeni kuwafunda tena hawa watoto, chumba kichafu kama dampo, na kwahiyo chup tu mi hamu ingekata kabisa, ukijua unaenda kutoa mchezo unajiandaa, vaa hata nyeupe na tumaua twa kuvutia, ee mama!!! Hata jamaa anaonekana hajainjoi chochote, warudisheni Somo mabinti wajifunze usafi sio kujiparamua ma make up tu, na hicho chumba lazima kinatoa harufu ka choo ya walevi
Haya mnayoyasema huku JF,mnayaishi kweli?
 
Nandy acha uongo 'sina jambo' haijatoka 2016 lkn kwenye hio video naiskia kwa mbali..
 
Huyu Nandy kaja kwa speed balaa jana katoa picha mara Selfie mara kapakatwa leo katoa video kashikwa tako kesho asijetoa video analiwa j*ch* tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kwa kutangaza penzi hivi.
 
Kwa hiyo huyu ndio wanasema kachukua viatu vya Jide??
Basi kuna shida kama ndio mwanamuziki jembe wa kike.
 
Duuuh ivi inanogaga zaid mkiwa mnafanya uku mnajirekodi????

Ebu leo nitajaribu na bae nione inakuaje.
Mmasai yule asiponilamba vichwa cjui mana kibuti kitakua hakitoshi

Bora uje kutest na mie achana na Masai hawajui hizo vitu.
 
Wizara wamfungie, ili ajifunze wavuta bange sio watu wazuri
Mlisha vutaga nae hizo bange [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Dah,ki ukweli inauma ujue ni zaidi ya maumivu aliyonayo mdada NANDY,ila iwe fundisho kwa watu wengine hata kama ni mpenzi wako kuhusu swala la kuji record huku mkiwa faragha ife maan unaweza jikuta unapata shida bila ya wewe kutarajia hasa ukizingatia mahusiano ya karne hii ni ya leo mko pamoja kesho mmeachana na bora iwe mmeachana kwa mema ila kama ni kwa ubaya matokeo yake ni kukusambazia vitu kaa hizi
 
hata mm nmekasikia eti kanaomba msamaha kwetu,mashabiki,serikali,wanakanisa wenzie its too shits alipokuwa anafanya vile aljua nani mwngne aone?kama wao ndio walfanya kulkuwa na haja ya kujirekod tena ?Walt ndio wao walkuwa wanafanya sema labda alietoa hyo video kamuwahi altaka aitoe yeye kwenye ukurasa wake ukisikia wajinga ndio waliwao ulimbukeni utawaua vijana wasojielewa aiseee
Apambane tu kutoa video xngne au amupiku nasi
Nandiiiii huna lolote juzi kahudhuria malkia Wa nguvu kumbe hovyoooo
hata mbunguni itakuwa hvo kwanza shukru alieppst ili uende ukatubu na wewe .....
 
Dah,ki ukweli inauma ujue ni zaidi ya maumivu aliyonayo mdada NANDY,ila iwe fundisho kwa watu wengine hata kama ni mpenzi wako kuhusu swala la kuji record huku mkiwa faragha ife maan unaweza jikuta unapata shida bila ya wewe kutarajia hasa ukizingatia mahusiano ya karne hii ni ya leo mko pamoja kesho mmeachana na bora iwe mmeachana kwa mema ila kama ni kwa ubaya matokeo yake ni kukusambazia vitu kaa hizi
Mkuu ina maana inakuuma wewe zaidi kuliko mhusika mwenyewe?! Dah,kweli dunia ina maajabu yake.
 
mambo mengine hata hayapendezi kwenye macho ya watu
 
Back
Top Bottom