Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Kwa mujibu wa billnass nandy ndo kaitupia hadharani ili kupata attention kuna ngoma anaachia soon..

Kama ni kweli basi hii dunia isimame nishuke maana sio kwa nilivyokuwa namheshimu huyu bi dada
 
Kama ndivyo, kabugi mbaya. Kuna njia za kutafuta attention, sio hiyo. Kwa image aliyokuwa kaitengeneza, hiyo haikuwa sahihi. Labda sasa aamue kuwa bad girl forever. Sidhani kama Giggy money angetoa hii watu tungeshangaa.
Hii ni sawa na JD atoe vid anagegedwa, ni ajabu.
 
Kwa mujibu wa billnass nandy ndo kaitupia hadharani ili kupata attention kuna ngoma anaachia soon..

Kama ni kweli basi hii dunia isimame nishuke maana sio kwa nilivyokuwa namheshimu huyu bi dada
Yani nandy hata me nlikuwa namheshimu sanaa na kumkubali ila hili daah.. Namuonea huruma kadhalilika sana
 
Simu ilijirekodisha, hakukusudia. Kwa kweli huyu dada kajimaliza.
Unaweza tumia nguvu nyingi sana kujenga heshima yako ila dk moja tu unaweza ibomoa hiyo heshima na isirudi tena.
Binafsi, nilianza kumkubali kwa kazi zake ila nimemshusha sana kwa upumbavu huo.
Yanii kaaribu brand kabisa... Vile watanzania wanakumbuka mambo ya ajabu kuliko ya maana kazi zake hazitavuma kuliko huo upuuzi
 
Back
Top Bottom