Mtu wa kwanza
New Member
- Sep 14, 2018
- 3
- 0
Kachochea nin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo lazima yatokee. Hata wew ungekuwa Rais ungefanya ivo, au cyo mkuu?Msanii Ney wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI”
Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii?
Rais ni kweli umechangua njia hii?
Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi?
Rais mbona kuna mambo mengi ya kushughulika nayo kama ukosefu wa Umeme,mafuta na Dolla?
Hata Chadema ikichukua dola itawanyamazisha wote wanaokosoa.Msanii Ney wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI”
Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii?
Rais ni kweli umechangua njia hii?
Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi?
Rais mbona kuna mambo mengi ya kushughulika nayo kama ukosefu wa Umeme,mafuta na Dolla?
Amani ni nini ?amani ya nchi ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote ulimwenguni
ni hali ya raha na salama bila ugomvi; ni kinyume cha fujo au vitaAmani ni nini ?
Sasa wanaohoji mali zao ni wapi wameleta fujo ?ni hali ya raha na salama bila ugomvi; ni kinyume cha fujo au vita
njia gani ilitumikaSasa wanaohoji mali zao ni wapi wameleta fujo ?
Just curious mkuu, na polisi bila CCM wana kilo zozote? 😅BILA POLISI CCM NI WEPESI KULIKO PAMBA
Hawa div. 4 ya point 32 bure kabisa yaani nì takataka kabisaMsanii Ney wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI”
Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii?
Rais ni kweli umechangua njia hii?
Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi?
Rais mbona kuna mambo mengi ya kushughulika nayo kama ukosefu wa Umeme,mafuta na Dolla?
----
Msanii Emmanuel Elibariki maarufu ‘Nay wa Mitego’ ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa tuhuma za kufanya uchochezi kupitia wimbo wake wa ‘Amkeni’.
Akiambatana na wakili wake Jebra Kambone, Ney wa Mitego amesema ameachiwa kwa dhamana baada ya mahojiano yaliyochukua takribani saa tatu na kukamilisha masharti aliyopewa.
Ney wa Mitego alifika katika Kituo cha Polisi Central, Dar es Salaam baada ya kuitwa kwa ajili ya mahojiano.
Hata hivyo Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema halihusiki na kuitwa kwake polisi licha ya kwamba wamemuita mara kadhaa kufika katika ofisi hizo lakini hakuitikia wito huo.
“Tumetoa wito mara mbili kwa ajili ya maadili ya kawaida tu lakini kwa bahati mbaya sana hakuwahi kutokea, na jana tumeandika wito mwingine tukimtaka aje Ijumaa saa 4 asubuhi hajatujibu, sijui kama atakuja ama hatokuja.
Mambo ya polisi nafikiri hayo ni masuala ya kijinai, sisi tunahusiana na masuala ya Sanaa tu wala hatuna jukumu la kwenda kumshitaki,” amesema Mwanasheria wa BASATA, Christopher Kamugisha.
Chanzo: Swahili Times
Sio rais hapo hahusiki kwann ni rais?.Msanii Ney wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI”
Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii?
Rais ni kweli umechangua njia hii?
Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi?
Rais mbona kuna mambo mengi ya kushughulika nayo kama ukosefu wa Umeme,mafuta na Dolla?
----
Msanii Emmanuel Elibariki maarufu ‘Nay wa Mitego’ ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa tuhuma za kufanya uchochezi kupitia wimbo wake wa ‘Amkeni’.
Akiambatana na wakili wake Jebra Kambone, Ney wa Mitego amesema ameachiwa kwa dhamana baada ya mahojiano yaliyochukua takribani saa tatu na kukamilisha masharti aliyopewa.
Ney wa Mitego alifika katika Kituo cha Polisi Central, Dar es Salaam baada ya kuitwa kwa ajili ya mahojiano.
Hata hivyo Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema halihusiki na kuitwa kwake polisi licha ya kwamba wamemuita mara kadhaa kufika katika ofisi hizo lakini hakuitikia wito huo.
“Tumetoa wito mara mbili kwa ajili ya maadili ya kawaida tu lakini kwa bahati mbaya sana hakuwahi kutokea, na jana tumeandika wito mwingine tukimtaka aje Ijumaa saa 4 asubuhi hajatujibu, sijui kama atakuja ama hatokuja.
Mambo ya polisi nafikiri hayo ni masuala ya kijinai, sisi tunahusiana na masuala ya Sanaa tu wala hatuna jukumu la kwenda kumshitaki,” amesema Mwanasheria wa BASATA, Christopher Kamugisha.
Chanzo: Swahili Times
Raithi wa manzethee sio?mi naona kabsa Nay Miaka ijayo Agombee uraisi
Akili zako chache ndo zinavyokwambia hivyo?.Serikali ni dude kuuuubwa
inaweza ikashughulikia Umeme na mafuta na huku ikishusha Wenge la wenye vihele hele bila ya muingiliano
Hizo ni sirikali dhalimu zisizojiamini kwa wananchi wao.Hazina majukum makubwa yakufikiria nakufanya.Ndo maana nyingi ya hizo sirikali ziko afrika.nchi za tunakoendaga kuomba misaada ukiona ntu kaitwa mchochezi jua ni mchochezi hasa sio blah blah kama uku kwetu ambako ukweli wanaita uchochezi.Hata Chadema ikichukua dola itawanyamazisha wote wanaokosoa.
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Yah, but hatuna namna, inabidi twende ivoivo..Hizo ni sirikali dhalimu zisizojiamini kwa wananchi wao.Hazina majukum makubwa yakufikiria nakufanya.Ndo maana nyingi ya hizo sirikali ziko afrika.nchi za tunakoendaga kuomba misaada ukiona ntu kaitwa mchochezi jua ni mchochezi hasa sio blah blah kama uku kwetu ambako ukweli wanaita uchochezi.