Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

Chama dola kongwe CCM waoga sana, msanii ni kama mwandishi wa kitabu au tamthilia hivyo hutiririka mistari jinsi anavyoona kinachoendelea katika jamii.

Sasa serikali ya CCM na taasisi zake kuzuia fikra, maoni na mapendekezo kupitia usanii au uandishi n.k wanajaribu kubinya uhuru huo, Je jamii yetu haitakiwi kufikiri tena bali kusubiri kuwa watu hamnazo wakupokea matamko, hotuba na propaganda za watawala kuwa ndiyo tunatakiwa kuyasikiliza na kusoma ..

Mwandishi George Orwell katika kitabu chake cha 1984 ananukuliwa kuhusu kuwepo wizara ya Ukweli:

Wizara ya kweli ilikuwa nini katika 1984?

Jukumu katika habari

Wizara ya Ukweli inajihusisha na vyombo vya habari, burudani, sanaa nzuri na vitabu vya elimu. Madhumuni yake ni kuandika upya historia ili kubadilisha ukweli ili kuendana na mafundisho ya Chama kwa ajili ya kupandikiza propaganda vichwani mwa raia ..

Mwandishi George Orwell anaongeza katika kitabu chake 1984 ..."Watu wanaochagua wanasiasa wala rushwa, walaghai, wezi na wasaliti sio wahanga, bali ni washirika." ‑ George Orwell hili ni jambo la kukumbuka kuhusu kanuni hii hivyo mfumo utatumika kuendeleza hayo kwa kufungua kesi za 'Uchochezi', 'Uhaini' n.k kutetea mfumo
 
Haya mambo lazima yatokee. Hata wew ungekuwa Rais ungefanya ivo, au cyo mkuu?

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Hata Chadema ikichukua dola itawanyamazisha wote wanaokosoa.

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
amani ya nchi ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote ulimwenguni
 
Hawa div. 4 ya point 32 bure kabisa yaani nì takataka kabisa
 
Sio rais hapo hahusiki kwann ni rais?.
 
Safi sana, achia kibao kingine hawa magay waumie,wanakatwa
 
Hata Chadema ikichukua dola itawanyamazisha wote wanaokosoa.

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Hizo ni sirikali dhalimu zisizojiamini kwa wananchi wao.Hazina majukum makubwa yakufikiria nakufanya.Ndo maana nyingi ya hizo sirikali ziko afrika.nchi za tunakoendaga kuomba misaada ukiona ntu kaitwa mchochezi jua ni mchochezi hasa sio blah blah kama uku kwetu ambako ukweli wanaita uchochezi.
 
Yah, but hatuna namna, inabidi twende ivoivo..

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…