Katiba yetu ya sasa na sheria zetu ziko wazi kwa wezi wa na waporaji mali za umma lakini wanalindana wao kwao ni CCM kwanza taifa baadae hawakujali wewe wala mimi.Watu ambao wamejilimbikizia mali kwa mda mrefu sana katika hii nchi, kwa njia ambazo sio sawa, wamekita mizizi mirefu sana .. usifikiri itakuwa rahisi wao waruhusu katiba mpya wakati wanajua itawang'anata
Tuna rais wa hovyo sanaMsanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI”
Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii?
Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi?
Rais mbona kuna mambo mengi ya kushughulika nayo kama ukosefu wa Umeme,mafuta na Dolla?
----
Msanii Emmanuel Elibariki maarufu ‘Nay wa Mitego’ ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa tuhuma za kufanya uchochezi kupitia wimbo wake wa ‘Amkeni’.
Akiambatana na wakili wake Jebra Kambone, Ney wa Mitego amesema ameachiwa kwa dhamana baada ya mahojiano yaliyochukua takribani saa tatu na kukamilisha masharti aliyopewa.
Ney wa Mitego alifika katika Kituo cha Polisi Central, Dar es Salaam baada ya kuitwa kwa ajili ya mahojiano.
Hata hivyo Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema halihusiki na kuitwa kwake polisi licha ya kwamba wamemuita mara kadhaa kufika katika ofisi hizo lakini hakuitikia wito huo.
“Tumetoa wito mara mbili kwa ajili ya maadili ya kawaida tu lakini kwa bahati mbaya sana hakuwahi kutokea, na jana tumeandika wito mwingine tukimtaka aje Ijumaa saa 4 asubuhi hajatujibu, sijui kama atakuja ama hatokuja.
Mambo ya polisi nafikiri hayo ni masuala ya kijinai, sisi tunahusiana na masuala ya Sanaa tu wala hatuna jukumu la kwenda kumshitaki,” amesema Mwanasheria wa BASATA, Christopher Kamugisha.
Chanzo: Swahili Times
Jamani mama ni mpole sana!
Waneshapewa maagizo kuwa wazee wa jambiani lazima waendelee kukalia kiti cheupe bila kupingwa
Umesahau na mchambawimaNchi imetekwa na wanakizimkazi Paje Jambiani Chanjamjawiri Mwanakwerekwe Malindi Madenjani.
bila kusahau MichewenNchi imetekwa na wanakizimkazi Paje Jambiani Chanjamjawiri Mwanakwerekwe Malindi Madenjani.
Hebu tuwekeeni hapa huo wimbo wa "AMKENI" tudadavue kama una uchochezi au la!!Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI”
Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii?
Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi?
Rais mbona kuna mambo mengi ya kushughulika nayo kama ukosefu wa Umeme,mafuta na Dolla?
----
Msanii Emmanuel Elibariki maarufu ‘Nay wa Mitego’ ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa tuhuma za kufanya uchochezi kupitia wimbo wake wa ‘Amkeni’.
Akiambatana na wakili wake Jebra Kambone, Ney wa Mitego amesema ameachiwa kwa dhamana baada ya mahojiano yaliyochukua takribani saa tatu na kukamilisha masharti aliyopewa.
Ney wa Mitego alifika katika Kituo cha Polisi Central, Dar es Salaam baada ya kuitwa kwa ajili ya mahojiano.
Hata hivyo Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema halihusiki na kuitwa kwake polisi licha ya kwamba wamemuita mara kadhaa kufika katika ofisi hizo lakini hakuitikia wito huo.
“Tumetoa wito mara mbili kwa ajili ya maadili ya kawaida tu lakini kwa bahati mbaya sana hakuwahi kutokea, na jana tumeandika wito mwingine tukimtaka aje Ijumaa saa 4 asubuhi hajatujibu, sijui kama atakuja ama hatokuja.
Mambo ya polisi nafikiri hayo ni masuala ya kijinai, sisi tunahusiana na masuala ya Sanaa tu wala hatuna jukumu la kwenda kumshitaki,” amesema Mwanasheria wa BASATA, Christopher Kamugisha.
Chanzo: Swahili Times
Hakuna kitu kingine isipokuwa matisho (intimidation) tu ili kutisha watu waogope kufunua maovu ya wenye mamlaka ya kidunia (serikali) ili kuchelewesha kupotea kwao...Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI”
Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii?
Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi?
Rais mbona kuna mambo mengi ya kushughulika nayo kama ukosefu wa Umeme,mafuta na Dolla?
----
Msanii Emmanuel Elibariki maarufu ‘Nay wa Mitego’ ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa tuhuma za kufanya uchochezi kupitia wimbo wake wa ‘Amkeni’.
Akiambatana na wakili wake Jebra Kambone, Ney wa Mitego amesema ameachiwa kwa dhamana baada ya mahojiano yaliyochukua takribani saa tatu na kukamilisha masharti aliyopewa.
Ney wa Mitego alifika katika Kituo cha Polisi Central, Dar es Salaam baada ya kuitwa kwa ajili ya mahojiano.
Hata hivyo Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema halihusiki na kuitwa kwake polisi licha ya kwamba wamemuita mara kadhaa kufika katika ofisi hizo lakini hakuitikia wito huo.
“Tumetoa wito mara mbili kwa ajili ya maadili ya kawaida tu lakini kwa bahati mbaya sana hakuwahi kutokea, na jana tumeandika wito mwingine tukimtaka aje Ijumaa saa 4 asubuhi hajatujibu, sijui kama atakuja ama hatokuja.
Mambo ya polisi nafikiri hayo ni masuala ya kijinai, sisi tunahusiana na masuala ya Sanaa tu wala hatuna jukumu la kwenda kumshitaki,” amesema Mwanasheria wa BASATA, Christopher Kamugisha.
Chanzo: Swahili Times
Tutaenda ila hatutafika na tukifika tutakua tumechelewa.Kuna ule usemi unaosema ukiwa unatembea usiangaike kupiga mawe kila mbwa anayekubwekea.Yah, but hatuna namna, inabidi twende ivoivo..
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Jinai gani amefanya BASATA wanataka wote tuwe machawa?Mambo ya polisi nafikiri hayo ni masuala ya kijinai,
makuwadi ya warabu koko 2025 mamayenu atakimbilia kwa mabwana zake dpworld huku nyinyi mkichagua either kulimia meno ama kukumbilia burundi.Serikali ni dude kuuuubwa
inaweza ikashughulikia Umeme na mafuta na huku ikishusha Wenge la wenye vihele hele bila ya muingiliano
Kwa hiyo yeye hana akili? Anashikiwa akili na wanaomzunguka? Wajinga kama wewe ni wengi sana!Lakini ukimzingua, anakuzingua...