Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

Watu ambao wamejilimbikizia mali kwa mda mrefu sana katika hii nchi, kwa njia ambazo sio sawa, wamekita mizizi mirefu sana .. usifikiri itakuwa rahisi wao waruhusu katiba mpya wakati wanajua itawang'anata
Katiba yetu ya sasa na sheria zetu ziko wazi kwa wezi wa na waporaji mali za umma lakini wanalindana wao kwao ni CCM kwanza taifa baadae hawakujali wewe wala mimi.

Sasa kinachotakiwa kuongeza nguvu katika kudai KATIBA MPYA tuongeze JOTO wakose raha wawe wanalala kwa kutumia vidonge vya usingizi na Dawa za BP.
 
Ukute mashtaka yake yapo drafted tayari na kwamba wameshaamua kuwa wanamfunga kisa kusema ukweli.
 
Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI”

Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii?
Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi?

Rais mbona kuna mambo mengi ya kushughulika nayo kama ukosefu wa Umeme,mafuta na Dolla?

----
Msanii Emmanuel Elibariki maarufu ‘Nay wa Mitego’ ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa tuhuma za kufanya uchochezi kupitia wimbo wake wa ‘Amkeni’.

Akiambatana na wakili wake Jebra Kambone, Ney wa Mitego amesema ameachiwa kwa dhamana baada ya mahojiano yaliyochukua takribani saa tatu na kukamilisha masharti aliyopewa.

Ney wa Mitego alifika katika Kituo cha Polisi Central, Dar es Salaam baada ya kuitwa kwa ajili ya mahojiano.

Hata hivyo Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema halihusiki na kuitwa kwake polisi licha ya kwamba wamemuita mara kadhaa kufika katika ofisi hizo lakini hakuitikia wito huo.

“Tumetoa wito mara mbili kwa ajili ya maadili ya kawaida tu lakini kwa bahati mbaya sana hakuwahi kutokea, na jana tumeandika wito mwingine tukimtaka aje Ijumaa saa 4 asubuhi hajatujibu, sijui kama atakuja ama hatokuja.

Mambo ya polisi nafikiri hayo ni masuala ya kijinai, sisi tunahusiana na masuala ya Sanaa tu wala hatuna jukumu la kwenda kumshitaki,” amesema Mwanasheria wa BASATA, Christopher Kamugisha.

Chanzo: Swahili Times
Tuna rais wa hovyo sana
 
Wampasue hizo kende kwanza. Akili imkae sawa
 
Hebu tuwekeeni hapa huo wimbo wa "AMKENI" tudadavue kama una uchochezi au la!!
 
Hakuna kitu kingine isipokuwa matisho (intimidation) tu ili kutisha watu waogope kufunua maovu ya wenye mamlaka ya kidunia (serikali) ili kuchelewesha kupotea kwao...

By the way, watawala wanashindwa kutambua mambo mawili muhimu sana katika utimilifu wa jambo lolote katika maisha ya mtu au kitu yaani; majira na nyakati...

Kwamba wakati na majira ya jambo fulani kutimia yakifika, basi hakuna kinachoweza kuzuia kutokea kwa jambo hilo...

Wenye akili tunatambua hili kirahisi kwa sababu tunaona signs (dalili) kuwa, majira na nyakati za kufanyika mabadiliko ya mfumo wa kiuongozi na kiutawala Tanzania ni sasa..

Nyakati na majira ya CCM na mfumo wake wa kiuongozi na kiutawala kutoweka Tanzania ni huu, ni sasa whether wanapenda au hawapendi au whether wanataka ama hawataki bila kujali wanatumia mbinu gani kuzuia mabadiliko haya...
 
Mistari ya wanamuziki wa Tanzania ya Nyerere ambayo yanaelemisha kama ya Ney Wa Mitego wetu

Ukombozi wa Afrika - Afro 70 Band

View: https://m.youtube.com/watch?v=CusrvwChw3g&pp=ygUSVWtvbWJvemkgd2EgQWZyaWNh

Mapinduzi ya Afrika
Ambayo Lengo lake
Ni Ukombozi kamili wa Mwafrika
Yanapingana Na Siasa,
Za Unyonyaji
Za Ukoloni Mambo Leo
Na Ubeberu

Afrika!
Shabaha Kuu Ya Mapinduzi Afrika,
Ni Kumkomboa Mwafrika Eeh,
Watalaamu Wa Ukombozi Ni Sisi Wenye,
Tunao Nyonywa, Kunyanyaswa
Na Kuonewa,

Eeh Afrika Bado Bara La Watu, Waliomo Katika Unyonge, Wa Kuoonewa Na Kunyanyaswa,

Kutakuwa Hakuna Taifa Lolote Ulimwenguni la Kutufundisha Afrika Jinsi Ya Kujiokoa ...

Wajibu Wa Kujikomboa,
Tupata Katika Mapambano Hayo Yenyewe ..
 
Serikali ni dude kuuuubwa

inaweza ikashughulikia Umeme na mafuta na huku ikishusha Wenge la wenye vihele hele bila ya muingiliano
makuwadi ya warabu koko 2025 mamayenu atakimbilia kwa mabwana zake dpworld huku nyinyi mkichagua either kulimia meno ama kukumbilia burundi.
 
Ndani ya upole wa mama ndani ya uhuru wa kuongea na maoni kuna mtu atakula mvua za kutosha. Ni sanaa gani ambayo haina fasihi! Aende kwa Mrisho Mpoto na masoud kipanya wamsaidie kuandika mashairi.
 
Back
Top Bottom