Msanii "Pasha" kwa sasa yuko wapi?

Hebu msinikumbushe Marehemu Maunda mimi unajua alisemaje?

Sijui liinii itafikaaa hisia zangu we kuzitambuaaaa.................( nifanye niwe wakoooooo mpenziiiiii?
 
2000-2010
 
Mkuu 2007-2008 kama sijakosea asee.
 
Ni humo humo mkuu, hadi around 2010, nyakati hizo muziki ndio ulikua muziki haswaa.
cinderela ya alikiba ilivuma kwenye miaka hiyo.... wahuni wakaingia na kuharibu kila kitu kabisa tangu kipindi cha akina diomond watoe nyimbo kama moyo wangu na nyingine za ajabu ajabu nimebaki na nyimbo za akina voice wonder tu
 
cinderela ya alikiba ilivuma kwenye miaka hiyo.... wahuni wakaingia na kuharibu kila kitu kabisa tangu kipindi cha akina diomond watoe nyimbo kama moyo wangu na nyingine za ajabu ajabu nimebaki na nyimbo za akina voice wonder tu
Hakika, na huyu voice wonder sijui alipotelea wapi? Nakumbuka ule nyimbo zake za "nimpende nani na ule wa nimekosa Mami" moja kati ya nyimbo zenye mashahiri safi sana.

Au kuna ile aliimba na Juma nature, sijui inaitwa hajazaa ile 😅😅😅... Talent zilikuwepo ila biashara ndio haikuwepo ila sasa talent hamna sana but biashara ipo.
 
Nyimbo yangu bora ya wakati wote ni Gezaulole iliimbwa na urafiki jazz
 
Ni marehemu kwa sasa. jamaa walikuwa vizuri sana hiyo nyimbo hii hapa mzee mwenzangu
 

Attachments

Oyaa hili goma la Mr Paul ft marijani rajabu.....Zuwena
Jamaa alituliza kichwa hatari.
Shusheni magoma tule old school
Ukipata fursa na nafasi sikiliza pia chocolate ya Mr Paul ft Jose mtambo dah ngoma nzuri sana na ile sauti ya kile kidada aiseeh hua inakua burudani sana..
 
MB Dog ni msanii ambaye nakubali ngoma zake vibaya mno. Number one artist nyimbo zake zote zilikuw pin. Ina maana, Si ulinambia hizi hits they were before time. - MB Dawg man if you reading this just you know big respect for your work.

Kuna jamaa akitoa nyimbo Lisa by R Tony naikubaki sana ile ngoma. Ngoma nyingine ambayo ni all time for me ni H - Mbizzo - Mchumba. Mungu alaze roho yake mahala pema, hii ngoma nitazeeka nayo inshallah. .

Pasha ngoma zake one time nilikuw naimba zote. Dah miaka hiyo nyimbo ikitoka lazima ukariri
 
Yupo stand ya buza kanisani hapo ana duka kama sio la vipodoz basi nguo fika hapo utamuona ukiuliza tu duka la pasha unaonyeshwa.
 
Ukipata fursa na nafasi sikiliza pia chocolate ya Mr Paul ft Jose mtambo dah ngoma nzuri sana na ile sauti ya kile kidada aiseeh hua inakua burudani sana..
Elewa baby
Ninachosema, wasije wakasema nakupiga...longolongo!

Ni kama chocolate
Ama vanilla
Ilivyo muhimu katika ice cream

Ni kama maji, ama chakula
Ulivyo muhimu maishani mwangu!

Mzani hauwezi kupima uzito wa penzi langu juu yako!!

Umenikumbusha mbali! Star TV miaka hiyo walikuwa wanapenda sana kuipiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…