- Thread starter
- #41
Hili lilikua dude sio mchezo..Unaiachaje Latifa..huu ndio ulikuwa wimbo wa Taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili lilikua dude sio mchezo..Unaiachaje Latifa..huu ndio ulikuwa wimbo wa Taifa
Basi tuu tulikua tunamzimia....ahahaaaHakukuwa na mwengine..??🤣
Kuna ile inaitwa mapenzi ni ya wawili kaimba sana..Hebu msinikumbushe Marehemu Maunda mimi unajua alisemaje?
Sijui liinii itafikaaa hisia zangu we kuzitambuaaaa.................( nifanye niwe wakoooooo mpenziiiiii?
2000-2010Industry ya muziki ni ngumu sana kumaintain ndio maana watu wengi ambao walikua na vipaji halisi walipotea na wengi ambao wapo ni wale ambao wako kwenye strong management kidogo au wameonekana hawana madhara au wanafuata kile ambacho mfumo unahitaji wakifuate na wengine wapo ili mzani uweze kubalance kwa maana asili ya muziki ni kushindana... Indirect Monopolism iko applicable sana kwenye muziki.
Nakumbuka huyo jamaa wakati anatoka walitoka wasanii wengi sana kama kina matonya, kina Z Anthony, kina Jay I na kina Alikiba walitoka nyakati hizo nadhani, hata malow nae ni generation hiyo kama sikosei, kina spark, kina mb dog na kadhalika.
Yaani ilikua huku ukiskia si vibaya kumpenda mtoto hidaya, unakaa kidogo unaskia vailet, mara kidato kimoja, hujakaa sawa bembeleza hii hapa, mara paap kidato kimoja, huku na huku sinderela hii hapa, mara shwaaaaa mpenzi kiziwi huyu hapa, hujatulia vizuri inamana hii hapa ya mb dog...
Mkuu 2007-2008 kama sijakosea asee.Industry ya muziki ni ngumu sana kumaintain ndio maana watu wengi ambao walikua na vipaji halisi walipotea na wengi ambao wapo ni wale ambao wako kwenye strong management kidogo au wameonekana hawana madhara au wanafuata kile ambacho mfumo unahitaji wakifuate na wengine wapo ili mzani uweze kubalance kwa maana asili ya muziki ni kushindana... Indirect Monopolism iko applicable sana kwenye muziki.
Nakumbuka huyo jamaa wakati anatoka walitoka wasanii wengi sana kama kina matonya, kina Z Anthony, kina Jay I na kina Alikiba walitoka nyakati hizo nadhani, hata malow nae ni generation hiyo kama sikosei, kina spark, kina mb dog na kadhalika.
Yaani ilikua huku ukiskia si vibaya kumpenda mtoto hidaya, unakaa kidogo unaskia vailet, mara kidato kimoja, hujakaa sawa bembeleza hii hapa, mara paap kidato kimoja, huku na huku sinderela hii hapa, mara shwaaaaa mpenzi kiziwi huyu hapa, hujatulia vizuri inamana hii hapa ya mb dog...
Ni humo humo mkuu, hadi around 2010, nyakati hizo muziki ndio ulikua muziki haswaa.Mkuu 2007-2008 kama sijakosea asee.
cinderela ya alikiba ilivuma kwenye miaka hiyo.... wahuni wakaingia na kuharibu kila kitu kabisa tangu kipindi cha akina diomond watoe nyimbo kama moyo wangu na nyingine za ajabu ajabu nimebaki na nyimbo za akina voice wonder tuNi humo humo mkuu, hadi around 2010, nyakati hizo muziki ndio ulikua muziki haswaa.
Hakika, na huyu voice wonder sijui alipotelea wapi? Nakumbuka ule nyimbo zake za "nimpende nani na ule wa nimekosa Mami" moja kati ya nyimbo zenye mashahiri safi sana.cinderela ya alikiba ilivuma kwenye miaka hiyo.... wahuni wakaingia na kuharibu kila kitu kabisa tangu kipindi cha akina diomond watoe nyimbo kama moyo wangu na nyingine za ajabu ajabu nimebaki na nyimbo za akina voice wonder tu
Ni marehemu kwa sasa. jamaa walikuwa vizuri sana hiyo nyimbo hii hapa mzee mwenzanguHakika, na huyu voice wonder sijui alipotelea wapi? Nakumbuka ule nyimbo zake za "nimpende nani na ule wa nimekosa Mami" moja kati ya nyimbo zenye mashahiri safi sana.
Au kuna ile aliimba na Juma nature, sijui inaitwa hajazaa ile 😅😅😅... Talent zilikuwepo ila biashara ndio haikuwepo ila sasa talent hamna sana but biashara ipo.
Ooh apumzike kwa Amani aisee... Shukrani kwa wimbo, wacha niburudike nao.Ni marehemu kwa sasa. jamaa walikuwa vizuri sana hiyo nyimbo hii hapa mzee mwenzangu
Ukipata fursa na nafasi sikiliza pia chocolate ya Mr Paul ft Jose mtambo dah ngoma nzuri sana na ile sauti ya kile kidada aiseeh hua inakua burudani sana..Oyaa hili goma la Mr Paul ft marijani rajabu.....Zuwena
Jamaa alituliza kichwa hatari.
Shusheni magoma tule old school
Hiyo ya Dulayo iliwahi kunipatia mrembo kirahisi Sana, mwamba aliimba kweli1. Mb Dog (Inamana, Mapenzi kitu gani, Sagaplasha)
2. Pasha (Ni soo, Hidaya)
3. Dulayo (Naumia roho)
Muziki unaishi#
Voice wonder kafa lini? Una uhakuka brother?Ni marehemu kwa sasa. jamaa walikuwa vizuri sana hiyo nyimbo hii hapa mzee mwenzangu
Yupo stand ya buza kanisani hapo ana duka kama sio la vipodoz basi nguo fika hapo utamuona ukiuliza tu duka la pasha unaonyeshwa.Hello..
Nilikua kwenye pitapita zangu nikakuta sehemu zinapigwa ngoma za zamani za bongo fleva..
Ghafla ikapigwa ngoma ya namuimbia ya Pasha aiseeh ilinisafirisha mbali sana kihisia huyu mwamba yuko wapi kwa sasa?..
Alikua amekamilika kuanzia vocal mpaka uandishi..
Kwenye hii ngoma ilipigwa biti na vinanda vya hatari kutoka kwa Mapigo na Saidi Komelei metro studio ndipo lilipopikwa hili dude..
Elewa babyUkipata fursa na nafasi sikiliza pia chocolate ya Mr Paul ft Jose mtambo dah ngoma nzuri sana na ile sauti ya kile kidada aiseeh hua inakua burudani sana..