and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Inategemea ni pombe gani ndugu Haya mataputapu hayajawahi kumuacha mtu salama tembelea hizo sehemu wanazonywea utawaona hao watumiaji wanavyofanana utasema watoto wa mama mmojalabda madawa kuna watu wanakunywa pombe hugusi! ila walivyosasa!.. halafu na age wamekula vyakutosha maisha haya ni usiige kunya kwa tembo..😂
Kumbe ndo huyu?"mtoto anang'ara kama ua ridi ama ua pori pori pori"
"Moyoni mwangu Mimi, kwake ni mashuhuri, ninaumia moooyooo oooh oohh, oiiyeiye ohhh natamani nimuone kwa mara nyingine tenax2
Ndiyo☺️Kumbe ndo huyu?
Hivi huyu ndo makamua? Nawachanganya hao wawiliUlevi na utumiaji wa madawa halafu pesa ya kula ni taabu ni lazima uzeeke kabla ya siku zako.
Mungu amlinde asirudi huko, kwa maana addiction ya pombe na madawa ni mbaya sana.
Huyu ni Q Jay.Hivi huyu ndo makamua? Nawachanganya hao wawili
Makamua alishafariki? Labda nikagugo sura zao ndipo nitaweza kutofautishaHuyu ni Q Jay.
Hapana hajafariki.Makamua alishafariki? Labda nikagugo sura zao ndipo nitaweza kutofautisha
Aah basi nawachanganya vibaya mno, anisamehe bure kuna kwenye kundi lao aliyefariki ni yupi?Hapana hajafariki.
Ndio huyu.
Group lao wakali kwanza walikuwa wa 3, Q Jay, Joslin na Makamua. Wote wapo unless umechanganya...Aah basi nawachanganya vibaya mno, anisamehe bure kuna kwenye kundi lao aliyefariki ni yupi?
Sasa si umri umeenda ndugu yangu hata wewe kama ni kijana pia utazeeka tu.Mbona kazeeka hivo