Ashukuliwe labuka yeye mleta uzima !
Kijana kuna kipindi alikuwa dhahiri dish limeyumba na lilikuwa halirudi ,lakini thanks kwa marafiki wajirani na mama yake mzazi amesimama na kijana wake mwanzo mwisho ,hata sauti yake inshaalah akiendelea na hii speed ya kuimarika tutamrudisha chid wa Dar es salaama stand up ! .
Nimekuwa niki fuatilia interview zake kwanza alikuwa mwanzo anaongea maneno hayana mpangilio na mwenye kukosa adabu ,ila juzi alihojiwa juu ya mahasimu wake alijibu kwa hekima with no hard feelings ,pia alipoulizwa kuhusu makonda alikosoa kwa heshima kubwa ya kiti cha ukuu wa mkoa ,yaani nahakika makonda alistuka hiyu ndo yule teja ? Maana alienda straight kwenye kukosoa lakini kwa nidhamu na hekima ya juu .
Natoa rai kwa jamii please wapeni watu second chance ,people can change .