yap ni ngumu sana ila walao amerudi kwenye form ,haongei tena mapumba,mara ntarecord na 2 pac e.t.c,sasa hivi hata wewe unaweza kaa naye mkajadili masuala ya kifamilia ,tayari ana mchumba piaBado mapema MKUU ,,ngoja ipite mwaka mmoja KAMILI,, kama HAJAREJEA MADAWA tuseme ALHAMDULILAH , ,hiyo ni ALBADILI YA KIHINDI kuacha ni NGUMU SN
Sent using Jamii Forums mobile app
yap ni ngumu sana ila walao amerudi kwenye form ,haongei tena mapumba,mara ntarecord na 2 pac e.t.c,sasa hivi hata wewe unaweza kaa naye mkajadili masuala ya kifamilia ,tayari ana mchumba pia
View attachment 1026941
Sina muda wa kusikiliza hoja za vichaaHoja za Chid umezisikia lakini?
Basi ni ujuha kuchangia kitu ambacho hukijui!!Sina muda wa kusikiliza hoja za vichaa
We jamaa umenifanya nicheke kupita maelezo,asante sana.Haya mfanyeni awe mgombea uraisi kupitia ukawa 2020
Chidi hakufikia stage ya kujipiga "mikuki'na hiyo ndio ya mwisho Na kuna watu wameacha..itakuwa cocktailBado mapema MKUU ,,ngoja ipite mwaka mmoja KAMILI,, kama HAJAREJEA MADAWA tuseme ALHAMDULILAH , ,hiyo ni ALBADILI YA KIHINDI kuacha ni NGUMU SN
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππSasa Makonda ameanza kujutia kutofuata ushauri wa Chid
Looh watu nyie mnafukunyua vilivyo jificha ndaniiKuna dalili zote kuwa unabii wa ChidBenz umeanza kutimia.
Alimuambia Makonda badala ya kuwekeza fedha kwa wasanii, jenga magereza kwa kuwa na wewe waweza kuwa mfungwa siku moja
June haitakwishaKuna dalili zote kuwa unabii wa ChidBenz umeanza kutimia.
Alimuambia Makonda badala ya kuwekeza fedha kwa wasanii, jenga magereza kwa kuwa na wewe waweza kuwa mfungwa siku moja
Ohooooo !!!Sasa nimeamini unaweza ukamuona mtu kama kichaa kumbe ana utimamu kuliko anayejiona yeye ni genius