Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Bado mapema MKUU ,,ngoja ipite mwaka mmoja KAMILI,, kama HAJAREJEA MADAWA tuseme ALHAMDULILAH , ,hiyo ni ALBADILI YA KIHINDI kuacha ni NGUMU SN

Sent using Jamii Forums mobile app
yap ni ngumu sana ila walao amerudi kwenye form ,haongei tena mapumba,mara ntarecord na 2 pac e.t.c,sasa hivi hata wewe unaweza kaa naye mkajadili masuala ya kifamilia ,tayari ana mchumba pia
1550634016730.png
 
Sasa nimeamini unaweza ukamuona mtu kama kichaa kumbe ana utimamu kuliko anayejiona yeye ni genius
 
Kuna dalili zote kuwa unabii wa ChidBenz umeanza kutimia.

Alimuambia Makonda badala ya kuwekeza fedha kwa wasanii, jenga magereza kwa kuwa na wewe waweza kuwa mfungwa siku moja
 
Kuna dalili zote kuwa unabii wa ChidBenz umeanza kutimia.

Alimuambia Makonda badala ya kuwekeza fedha kwa wasanii, jenga magereza kwa kuwa na wewe waweza kuwa mfungwa siku moja
June haitakwisha
 
Back
Top Bottom