Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Naomba uniambie maana ya akili kubwa
Akili kubwa ni ile inayoyaona mambo tofauti na watu wa kundi lako uliomo. Chid Benzi alikuwa "teja" pia si msomi, lakini ukimsikiliza kwenye maelezo yake hayo utagundua kwamba ana akili kubwa sana.
 
Akili ya mtu unaitambua kwa jinsi anavyotanabahi kwa mambo chanya na hasi!!
Naomba unipe maana ya aikli kubwa. Tunael
ile inayoyaona mambo tofauti na watu wa kundi lako uliomo
Hata kama jambo halina maana ni akili ni akili kubwa? Mkuu kila mtu hutoa maoni kulingana na uwezo wake wa kufikiri. Nikukumbushe tu akili inaendana IQ ya mtu. Mtazamo na maoni ni kipengele kidogo sana katka upimaji wa IQ ya mtu, Siku nyingine ukitaka kupima IQ naomba uangalie outcome ya kile anachokifanya. Ahsante
 
Aha ha kwahiyo akiongea maneno yanayowafurahisha tayari amekuwa akili kubwa?
Kesho akiwaponda mnamtukana na kumdhalilisha.
Upinzani wa Tanzania yafaa kutokomezwa by any means the gunpower being the best of all.
 
Mkuu kila mtu hutoa maoni kulingana na uwezo wake wa kufikiri. Nikukumbushe tu akili inaendana IQ ya mtu.
Kwanza unaposema kwamba kila mtu hutoa maoni kulingana na uwezo wake wa kufikiri, hapo unazungumzia utofautiano wa akili. Kwa ivo kwa jambo moja lile lile uwezo wa watu kulitambua hutofautiana.

Inteligence Quotient (IQ) ni nadharia ya kupima uelewa wa watu kwa kufuata kanuni fulani lakini si kipimo cha akili. Unaweza kuwa na IQ kubwa sana lakini kwenye maisha ya kawaida ukaonekana "huna akili"
 
Mkuu narudia tena. Naomba utambue kuwa ukubwa wa akili yako utapimwa kutokana na outcome ya kile unachofanya.
 
Upinzani wa Tanzania yafaa kutokomezwa by any means the gunpower being the best of all.
Mtaua wangapi? Hatujasema Chid Benz kila siku anaongea ya maana. Bali kwenye hoja aliyotoa anaonesha ana akili kubwa kuliko wana CCM milioni 3.

Yeye siyo msahafu wa maisha ya kila siku ya Watanzania lakini katika hili yuko sahihi kwa asilimia mia moja.
 
Mkuu narudia tena. Naomba utambue kuwa ukubwa wa akili yako utapimwa kutokana na outcome ya kile unachofanya.
Kweli kabisa. Katika hili la kupima uelewa wa wana CCM, "outcome" ya kilichozalishwa kwenye akili ya Chid Benz ni kile alichokisema!

Kufikiri ni tendo.
 
Akili kubwa ni ile inayoyaona mambo tofauti na watu wa kundi lako uliomo. Chid Benzi alikuwa "teja" pia si msomi, lakini ukimsikiliza kwenye maelezo yake hayo utagundua kwamba ana akili kubwa sana.

Usomi nn? Si kukaa darasani ni uwezo wa kutafakari,wa ngapi PhD holder uwezo wao wa kufikiri ni Mdogo kuliko Kuku,wengi kadri wanavosoma ndivyo upungua uwezo wa kufikiri. Chid ana elimu ya uzoefu wa aliyoyapitia
 
Back
Top Bottom